Lewandowski-Nilistahili kushinda Ballon d'Or.

Mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski anaamini kwamba alikuwa anastahili kushinda tuzo ya Ballon d’Or kama tuzo hizo zisingeondolewa mwaka 2020.

Chama cha mpira Ufaransa kilithibitisha mwezi Julai kwamba hakutokuwepo kwa ugawaji wa tuzo hizo kutokana na kuingiliwa kwa msimu 2019-20 kufuatia kuzuka kwa janga la virusi vya Corona.

Lewandowski alikuwa na msimu mzuri sana kwa kufanikiwa kufunga magoli 55 katika mashindano yote na kuisaidia Bayern Kutwa mataji makubwa matatu ndani ya msimu mmoja kwa mara ya pili, mataji hayo ni Bundesliga, DFB-Pokal na Champions League.

Lewandowski mwenye umri wa miaka 32 alisisitiza Ballon d’Or ilikuwa kwenye akili yake msimu huu na amesema alikuwa akistahili kupata tuzo hiyo.

Sikufikiria haya yote, nilikuwa najua bado kuna Champions League, pia Bundesliga ilikuwa haijafika mwisho,” aliiambia Onet and Przeglad Sportowy pale alipoulizwa maoni yake kuhusu kuondolewa kwa tuzo hizo.

Alipoulizwa ni mchezaji gani angependa kuona anapata tuzo hiyo, alijibu: “Mimi mwenyewe, tumeshinda kila kitu, nimeshinda mfungaji bora katika kila mashindano nadhani mchezaji aliyepata mafanikio kama haya alikuwa akistahili tuzo ya Ballon d’Or.”

Bayern Munich ilishinda 1-0 dhidi ya Paris Saint-Germain katika fainali ya Champions League na kuona Lewandowski akishinda kombe hilo kwa mara ya kwanza katika soka lake kitu alicho kiri kuwa ilikuwa ni ndoto yake tangu alipokuwa mdogo.

“Nakumbuka baada ya mchezo kumalizika mke wangu alinitumia video ya wapendwa wangu wakilia kwa furaha. Kilikuwa ni kitu fulani adimu sana ilifanya nipate hisia kali na kukumbuka miaka mingi iliyopita.

Wakati akiwa hana mpango wa kustaafu mapema moja ya malengo aliyobakisha Lewandowski ni kuleta furaha katika taifa lake la Poland katika hatua ya kimataifa.

“Hamu yangu ni kuhakikisha nina peleka furaha kwa washabiki wa timu ya taifa hapo nitakuwa nimeridhika kusherekea ubingwa wa Dunia.


Beti Mbio za Mbwa Mubashara

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

41 Komentara

    kabisa alikuwa anastahili maana kafanya juhudi kubwa sana

    Jibu

    Nikweli yupo sahii

    Jibu

    Yupo sahihi#Meridianbettz

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Haikua riziki.Lewandowski kaa kwa kutulia…

    Jibu

    Anastahili kupewa hongera@meridianbettz

    Jibu

    Huna budi kukubaliana na janga lililotea 1day yes usikate tamaa

    Jibu

    Sahihi kabisa

    Jibu

    Lewandowiksi amestahili kupata hiyo tunzo ya ballon

    Jibu

    Kweli anastahili

    Jibu

    Anastahili pongezi

    Jibu

    Yupo sahihi

    Jibu

    Nikweli yuko sahii.

    Jibu

    Amepata mafanikio makubwa nilitarajia angepata tuzo hii ya heshima kama isingefutwa#meridianbettz

    Jibu

    Ni kweli ilikuwa zamu ya lewandoski

    Jibu

    Ni sahihi kabisa

    Jibu

    Ukwer bila Corona tuz hii alistahili

    Jibu

    Corona imekuharibia shughulii!!!

    Jibu

    Yuko sahihi kabisa mana msimu huu umekuwa tofauti kabisa. Wachezaji tusiotarajia ndio ambao wamepata tunzo hivyo kama isingekuwa corona angepata ballon d’or Lewandowsk

    Jibu

    Ni kweli kabisa alistahili kupata tuzu hiyo na wameifuta kwa sababu zao tu

    Jibu

    Ni kweli yupo sahihi.

    Jibu

    All the best kwenye kuifikia ndoto yake

    Jibu

    kweli kabisa ameonyesha kiwango bora sana lewandowski

    Jibu

    ilikua zamu yake

    Jibu

    Alistail kupew tuzo ya heshimah Kama vngekuwepo ila covid 19 imeharibu mambo yote msimu huu

    Jibu

    Yupo sahihi kabisa

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Kweli kabisah asemavyo lewandowsk

    Jibu

    Ajitahidi msimu ujao

    Jibu

    Makala safii

    Jibu

    Kwel kabsa

    Jibu

    Corona ttz

    Jibu

    Big up sana lewandowsk kila kitu kinawezekana tu kama ukiamua hii imetupa hamasa mashabiki wa bayern munch tuna subiri kuyaona mengi mazuri clabuni hapo

    Jibu

    Wala hakustahil basi tu Anajipa matumaini

    Jibu

    Hakika alistahili

    Jibu

    Lewandosk kwa perfomance alioionyesha msimu huu hamn kipingamiz balion dor angebeba

    Jibu

    Alistail kupew tuzo ya heshimah Kama vngekuwepo ila covid 19 imeharibu mambo yote msimu huu

    Jibu

    Lewandowski amefanya vzur sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.