Arsenal Kuwakabili Leicester City Katika EFL Cup.

Arsenal watasafiri mpaka Leicester City katika raundi ya tatu kwenye mashindano ya EFL Cup, wakati mabingwa wateteziwa kombe hilo Manchester City watakabiliana na Bournemouth au Crystal.

Ikiwa ratiba ya michuano hiyo imebana kutokana na kuchelewa kumalizika kwa msimu uliyopita sababu ya janga la virusi vya Corona, droo ya ratiba ya raundi ya tatu imefanyika siku ya Jumapili.

Arsenal wamepangwa kutembelea viunga vya King Power Stadium,wakati City ambao iliwafunga Aston Villa mwezi Februari na kutwaa taji hilo mara ya tatu mfululizo, watakuwa Etihad wakiwakaribisha Bournemouth au Crystal Palace.

Liverpool watakua na kibarua chepesi kwa kukutana na timu ya ligi ndogo na Manchester United watakabiliana na kati ya Reading au Luton Town.

Ratiba ya Raundi ya pili EFL Cup.

West Ham v Charlton Athletic

Ipswich Town v Fulham

Oxford United v Watford

Bournemouth v Crystal Palace

Leyton Orient v Plymouth Argyle

Southampton v Brentford

Bristol City v Northampton Town

Reading v Luton Town

Millwall v Cheltenham Town

Brighton and Hove Albion v Portsmouth

Newport County v Cambridge United

Gillingham v Coventry City

Round two north region draw in full:

Burnley v Sheffield United

Burton Albion v Aston Villa

Bradford City v Lincoln City

Leeds United v Hull City

Everton v Salford City

Wolves v Stoke City

Fleetwood Town v Port Vale

Rochdale v Sheffield Wednesday

West Brom v Harrogate Town

Middlesbrough v Barnsley

Derby County v Preston North End

Newcastle United v Blackburn Rovers

Morecambe v Oldham Athletic

Ratiba ya raundi ya tatu:

Bradford au Lincoln v Liverpool

Bristol City au Northampton Town v Burton Albion au Aston Villa

Morecambe au Oldham Athletic v Newcastle United au Blackburn Rovers

Reading au Luton Town v Manchester United

Derby County au Preston North End v Brighton and Hove Albion au Portsmouth

Ipswich Town au Fulham v Rochdale au Sheffield Wednesday

Manchester City v Bournemouth au Crystal Palace

Millwall au Cheltenham Town v Burnley au Sheffield United

Chelsea v Middlesbrough au Barnsley

Wolves au Stoke City v Gillingham au Coventry City

Leicester City v Arsenal

West Brom au Harrogate Town v Southampton au Brentford

Newport County au Cambridge United v Oxford United au Watford

Fleetwood Town au Port Vale v Everton au Salford City

Leyton Orient au Plymouth Argyle v Tottenham

West Ham au Charlton Athletic v Leeds United au Hull City

West Ham v Charlton Athletic

Ipswich Town v Fulham

Oxford United v Watford

Bournemouth v Crystal Palace

Leyton Orient v Plymouth Argyle

Southampton v Brentford

Bristol City v Northampton Town

Reading v Luton Town

Millwall v Cheltenham Town

Brighton and Hove Albion v Portsmouth

Newport County v Cambridge United

Gillingham v Coventry City


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

44 Komentara

    Asanteni kwa taarifa. Meridianbet

    Jibu

    Mambo ni moto yani hatariiiiiii

    Jibu

    Leicester City anashinda mapema tu hii mechi ,naandaa mkeka wangu Mana naona mechi Kama zote Asante meridianbet

    Jibu

    Fixtures ipo poa sana CARABAO cup natumain match itakuwah ya ushindan mkubwa Sana hapa na mAtokeo yatahamuliwana ubora wa vikosi ndani ya cku hyo

    Jibu

    Asante meridianbet

    Jibu

    Mambo Ni 🔥🔥🔥🔥@merdianbettz

    Jibu

    Itakuwa poa sana #Meridianbettz

    Jibu

    Arsenal leo hawana kazi ngumu kiukweli tu arsenal wapo vizuri sana wanakikosi kizuri asilimia mia leo wanachukua ubingwa

    Jibu

    safi ratiba imesomeka

    Jibu

    Arsenal lazima akalishe mtu Leo

    Jibu

    arsenal kwa jitihada na juhudi walizonazo wanaweza wakamkalisha mtu leo ila wasijisahau sana

    Jibu

    Ratiba ya mechi iko sawa kabisa

    Jibu

    Arsenal walivyo kuwa wazuri Sasaivi Wana weza wakamkalisha Leicester kumpa kichapo

    Jibu

    Arsenal jeshi na imani hamtochana mkeka wangu

    Jibu

    Arsenal leo hawana kazi ngumu kabisa yan#Meridianbettz

    Jibu

    Mambo ni moto

    Jibu

    Itakuwaa bombaa sana

    Jibu

    Arsenal mtu mbaya lazima ashinde leo

    Jibu

    Leicester wana asilimia kubwa za kushinda

    Jibu

    Mambo motoo

    Jibu

    Arsenal mnyamaaaa

    Jibu

    naandaa mkeka wangu Mana naona mechi Kama zote Asante meridianbet

    Jibu

    Mmh ngoja tuone itakuaje.

    Jibu

    Thanks for Good news

    Jibu

    Ligi ya EPL imekuwa ikitajwa kama moja ya ligi zenye mechi nyingi hivyo kuchosha wachezaji,kuna mechi CARABAO-EFL, FA, CHAMPIONS LEAGUE kwa top teams na EPL yenyewe#meridianbettz

    Jibu

    Meridianbet asaiv atari sana

    Jibu

    Msimu wa 2020/2021 utanoga sana Uingereza maana vilabu karibia vyote vimejipanga vizuri sana kwenye mashindano yote, Huenda ata Bingwa wa UEFA akatokea Uingereza

    Jibu

    Mambo yamedamshi#meridjanbettz

    Jibu

    Arteta mtihan wa kwanza efl lakini watakutan na vardy streika anaejua goli

    Jibu

    Hii sio mechi ya kukosa.

    Jibu

    Arteta kipengele cha kwanza

    Jibu

    Mambo moto

    Jibu

    Mamb yashaanza kupamba moto

    Jibu

    Arsenal walivyo kuwa wazuri 🔥🔥🔥🔥

    Jibu

    Gud news 👍

    Jibu

    Mambo ni 🔥🔥🔥

    Jibu

    Ratiba imekaa poa sana

    Jibu

    Huu msimu tunaousubiria naona vilabu vyote vmejiweka ktk ukakamavu Lkn natupia upande mmoja wa shs arsenal dhidi Leicester natumai the gunner one atafembeza kichapo kwa Leicester.

    Jibu

    Ratiba imeeleweka

    Jibu

    Mambo yanakua mazuri!!!

    Jibu

    Ratiba iko vzuri

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Fixtures ipo poa sana CARABAO cup natumain match itakuwah ya ushindan mkubwa Sana hapa na mAtokeo yatahamuliwana ubora

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.