Klabu ya Lazio imemuongeza mkataba wa miaka mitano kiungo mshambuliaji Luis Alberto.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 28 alijiunga na Lazio akitokea klabu ya Liverpool baada ya kupambana kupata nafasi ya kucheza katika klabu hiyo lakini tangu atue katika ligi ya Serie A kiwango chake kimekuwa kizuri akitajwa moja ya washambuliaji wenye madhara katika lango la timu pinzani

Ni Alejandro Gomez pekee wa Atalanta’ alipata asisti nyingi asisiti (16) kuliko Luis Alberto ambaye alitoa asisti (15), wakati Mhispania huyo alifurahia msimu 2017-18 kwa kuhusika kwenye magoli 25 (akifunga goli 11 na kutoa asisti 14) katika ligi hiyo.
Kutokana na kuwa katika kiwango bora vilabu vingine vilianza kuiwinda saini yake, vilabu hivyo ni Everton ya Premier League na Sevilla ambayo akademi yake ndiyo ilimtoa mchezaji huyo.
Lakini Lazio wamefanikiwa kufuzu katika michuano ya Champions League msimu huu na Lazio wameamua kumbakisha kiungo huyo ilikuimarisha kikosi kwa kumpa dili ya kuendelea kuhudumu mpaka mwaka 2025.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Faraja molell
Hongera San luis
Janeflora malisa
Good
Ester mmakasa
Lazio wamefanya uwamuzi mzuri sana kwasababu kijana yuko vizuri.
Sauda
Lazio wamelamba dume
Mwanahamisi
Hongera sana luis
magdalena
pongezi kwake kwa kupata bonge la bingo
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera Sana kwake Luis Alberto kulamba dili kusalia lazio
Antony Luseno
Nice update #meridianbettz
Tatu
Luis ni mchezaji mzuri na anayejituma lazii kumuongezea mkataba awajakosea
Caroline
Hongera Sana Luis
Venerose
Safi sana
Shani
Mmh lazio ni bonge la streika
Angelina
Goodnews
Dorophina
Kila lakheri luis
Hopemwaikuka
Congrats Luis
Hidaya
Pongezi kwa luis
jullie
hongera zake
Zeiyana
Lazio wameona humuimu wa Luis ndio maana wememuongezea mkataba wa kudumu
Fatuma kasomo
Safi sana
Rose kapinga
Bonge la dili
Gabriel
Hongera sana Luis Alberto
Sabrina
Lazio wamefanya jambo la maana kumsainisha Alberto aendelee kukipiga Lazio
Samiah
Bonge yadili
Khadija
pongezi sana kwake
Amiri Kayera
Wamemuamin ndomn wamemp mkatab mlefu
Issa
Lazio imepata mchezaj makin
lombo
habar njema
Marry Mushi
nice
Adelta
Lazio wako vizuri
felister
bonge moja la dili
Saupha mohamed
Lazio wapo vizuri
Mwajumah
Hongera sana luis
Nasra
Safi sana
Fatina mfigi
Safiii
Elika
Pongezi kwa lazio
Latifa juma mohamed
Congr!! Deal done!!
aisha
Bado anauwez mkubw ndoman kocha amemuami kumpk mkataba mlef
Rehema
Pongezi
Neema
Hongeraa sana
David Pere
Lazio wameona humuimu wa Luis ndio maana wememuongezea mkataba wa kudumu
Povel
Congrat luis Alberto🤝🤝🤝🤝