Andrea Pirlo amesema Pep Guardiola ni kama “Kioo kwenye harakatii zote za soka” na amekiri kamwe hakuwahi kufikiria kama siku moja atakuja kuwa mwalimu wa Christiano Ronaldo.
Mkongwe huyo wa Italia amepewa jukumu la kuinoa timu ya Juventus msimu huu na timu yake mpaka sasa imejikamatia alama nane kibindoni katika michezo minne ya Serie A.
Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Pep Guardiola, ambaye alianza kufundisha Los Cules B kabla hajakabidhiwa Barcelona ambayo ndani yake ilikuwa na mastaa kama Lionel Messi, Xavi na Andres Iniesta.

Baada ya kumalizana na Barcelona akajiunga na moja ya klabu kubwa barani Ulaya Bayern Munich kabla hajatua Manchester City mwaka 2016 na Pirlo anamuona Guardiola kama mfano kwa kila kocha anayechipukia.
“Guardiola ni mfano kwetu sisi soteni moja ya makocha bora kuwahi kutokea ameonesha njia kwa makocha vijana ambao wanataka kuonesha walicho nacho katika mpira wa miguu,” Pirlo aliiambia UEFA.com.
Akiwa Juve Pirlo yupo na nyota wa Ureno Christiano Ronaldo na Pirlo anamzingatia kama mchezaji bora wa muda wote.
Ronaldo tayari amesha nyanyua kombe la Mabingwa barani Ulaya mara tano, ameshinda makombe ya ligi katika mataifa matatu England, Spain na Italia pia kashinda tuzo ya Ballon d’Or mara tano.

Pirlo aliongea jinsi anavyo jivunia kufanya kazi na Ronaldo.
“Hapana, kamwe sikuwahi kuwaza kama siku moja nitakuwa mwalimu wake ni furaha kubwa niliyonayo kuwa na mchezaji huyo kwangu mimi na timu kwa ujumla tunajivunia.
Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.


Elika
Safi sana pirlo
magdalena
pirlo yuko sahihi lakini sasa ni mwalimu wake
zeiyana
pirlo yupo sahii guardiola ni kocha makini sana hanamfanao wa kuigwa
Janeflora malisa
Uwamuz ni wake
Amiri Kayera
Ndo maisha ya mpila utakiw kumzarau mwenzio ujui mtakutan wap
Adelta
Pirlo Yuko vizuri
Hidaya
Kocha makini
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri anacho kisema Pirlo Guardiola ni kocha mzuri Sana mfano wakuigwa
Shani
Pirlo safi
Mwajumah
Safi sana pirlo
Fatuma kasomo
Yupo vizuri
Angelina
Safi
Tatu
Huyo kocha yupo sahihi
latifa juma mohamed
pirlo yuko sahihi lakini sasa ni mwalimu wake
lombo
duuh
Dorophina
Pirlo yupo sahihi
Povel
Nice update
aisha
Big up
Issa
Juve imepata kocha mzawa anaeijua vizur timu
Hopemwaikuka
Ndo tayar ushamfundisha
Mariam mtandama
Safi
Gabriel
Nice update 👍
Sabrina
Hayawi hayawi yamekua pirlo kua mwalimu kwa Ronaldo
Flomena
Big up heshima kwake
Rehema
Big up
Salma ngende
Kumbe
warda
ha ha haaaaaa ndo zari lake kumfundisha staa kama huyu
Sauda
Inafurahisha sana
Neema
Yuko vzr