Zlatan Ibrahimovic ameitwa tena katika kikosi cha timu ya taifa kwaajili ya michezo ya kufuzu kushiriki kombe la Dunia 2022.

Ibrahimovic hajaichezea timu hiyo ya taifa tangu alipotangaza kustaafu kwake kucheza mechi za kimataifa mwaka 2016 lakini amehusishwa tena katika kikosi cha Janne Andersson cha hivi sasa.
Mchezaji huyo wa miaka 39 atajiunga na timu ya Sweden mwezi mwishoni kwaajili ya kuinaza safari ya kuelekea Qatar mwaka 2022 na Andersson amefurahi kumkaribisha tena mfungaji bora wa muda wote wa Sweden katika timu yake.
Alipoulizwa ni nini Ibrahimovic atakileta katika timu baada ya kutangaza kikosi chake kipya siku ya Jumanne, Andersson aliwaambia maripota: “kabla ya yote kwanza, ni mchezaji mzuri sana borakabisa kuwa katika timu ya Sweden.
“Ni kweli inafurahisha kwamba kuona anataka kurejea tena.
“Kwa kuongeza ni nini anaweza kuchangia uwanjani, anauzoefu mzuri na anaweza kucchangia kwa wachezaji ndani ya timu.
Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.



Venerose
Safi sana
Neema juma
Vizuri sana
Hopemwaikuka
Inapendeza
Sarah
Safi
Lydia Emmanuel Magoti
Safii
Adelta
Iko inapendeza Sana
Dorophina
Habari njema kwa movic
Caroline
Ibrahimovic apunguze majivuno
warda
Ibrahimovic anastahili kwenda Timu ya Taifa