Billy Joe Saunders anafikiria kama anaweza kustaafu ngumi baada ya kupata kipigo kikali kutoka kwa Saul ‘Canelo’ Alvarez.

Saunders alipata shida kwenye mfupa wa shavu pamoja na maeneo mengine, ingawa bado hajathibitisha maamuzi hayo The Brit anaifikiria hatimaye yake kwenye michezo.
“Nilifanyiwa upasuaji,” Saunders aliiambia Talk Sport. “Nilivunjika soketi ya jicho, nimewekewa visaani sasa nipo kama Temineta, nimejaa vyuma.
Ilikuwa jeraha kubwa ambalo sikufikiria kama ninalo lakini huwezi kujua nini kitatokea kwenye masumbwi.
“Mwisho wa siku nina umri wa miaka 31 sitaki kurudi nyuma na kama nataka kukaa na kupumzika naweza kufanya hivyo.
“Nitaongea na baba yangu kwa sababu atakuwa na mengi ya kusema kuhusu hili na itategemea na jinsi atakavyo sema ni 50-50. yaani”
Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.



Sauda
Kazi na umri
magdalena
Apumzike tu umri ushaenda
Sarah
Kazi na umri
Issa
Rekod za kibabe