Tyson Fury ameweka wazi mipango yake kwa muda uliyosalia 2021, ambayo itajumuisha Mapambano dhidi ya Deontay Wilder na Dillian Whyte, endapo pambano halitafanikiwa na bondia wa mwisho, Gypsy King amefungua mlango wa pambano la maonyesho na mtu ambaye anajina kama lake, Mike Tyson.

Iron Mike, baada ya kurudi kwenye uringoni kwa pambano dhidi ya Roy Jones Jr mwaka jana mwezi Novemba, anafikiriwa kuwa na hamu ya mapambano zaidi ya maonyesho, ingawa jinsi itakavyouzwa haijulikani.
“Lazima uangalie Holyfield amepambana na Vitor Belfort wikendi hii, Holyfield ana umri wa miaka 60 na mwingine ana miaka 45, kwanini tuue ndoto za watu hawa ambao wanakuwa sawa?” Fury alielezea.
“Wao ni wapiganaji wazuri na wanafanya kazi kufikia lengo, ningependa kuona Mike anarudi na kupigana unajua.
“Ningependa kupigana na Mike Tyson kwenye maonyesho, ikiwa jambo la Dillian Whyte halitatokea, basi ningependa kumuona Mike kwenye maonyesho, Tyson vs Tyson, zamani vs sasa, kuna raha nyingi katika hiyo.”
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


