Huenda Neymar Akaikosa Mechi Dhidi ya Real Madrid

Klabu ya Paris Saint-Germain imepata wasiwasi kwa mchezaji wao Neymar kwamba huenda mshambuliaji huyo akaukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid sababu ya kusumbuliwa na jeraha.

Huenda Neymar Akaikosa Mechi Dhidi ya Real Madrid

Jeraha la Neymar huenda likachelewa kupona hali itakayopelekea mchezaji huyo wa kiamataifa wa Brazil akashindwa kushiriki mchezo huo mkubwa mwezi Februari.

Klabu hiyo ya Paris lakini bado ina wachezaji kama kina Lionel Messi na Kylian Mbappe, lakini ingefurahi zaidi kuwa na kikosi kamili cha washambuliaji kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa.

Ripoti iliyochapishwa na RMC Sport inaeleza kuwa ndani ya klabu hiyo ya Ufaransa wanafahamu kwamba muda wa kupona kwa Neymar kutokana na jeraha la kifundo cha mguu huenda tusimuone kurejea kwa wakati kwa mechi dhidi ya Real Madrid.

Neymar amekuwa nje ya uwanja tangu Novemba 28, lakini anafikiria kuharakisha kurejea kwake ili kushiriki katika mechi muhimu.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.