Rebecca Welch anakuwa mwanamke wa kwanza kuchezesha michuano ya FA Cup kwa upande wa wananaume ambapo atachezesha mchezo kati ya Birmingham City dhidi ya Plymouth Argyle kwanye michezo ya mzunguko wa tatu January 8 2022.
Hii sio mara ya kwanza kwa Rebecca Welch kuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuchezesha michezo awali alishawa kuchezesha mchezo wa ligi ya uingereza kati ya Port Vale dhidi ya Harrogate mchezo uliosha kwa Port Valekushinda 2-0.

Fearn ndiye mwanamke wa kwanza kuchezesha mchezo wa ligi ya Uingereza baada ya kufanyika mabadiliko kutokana na refarii aliyekuwepo kuumia mwaka 2010, lakini Rebecca Welch ndie mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuongoza michezo ya ligi.
Rebecca Welch awali alikuwa ni mfanyakazi “National Health Service” nchini Uingereza na alifanikiwa kuwa refarii mwaka 2010 lakini aliamua kuendela na kazi yake ya huduma za afya mpaka mwaka 2019.
Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

CHEZA HAPA

