Bob Arum: Joshua Kurudiana na Usyk Mwezi Juni

Promota wa Tyson Fury, Bob Arum, amefichua kuwa Anthony Joshua atachapana na Oleksandr Usyk mwezi Juni mwaka huu.

Mazungumzo kuhusu bingwa wa taji ambaye hajawahi kupingwa kati ya Usyk na Fury yalibuma hivi majuzi, na kusababisha Joshua na Usyk kusonga mbele na pambano lao la marudiano.

Ingawa pambano lilikuwa limedokezwa Aprili, Arum alirekebisha madai hayo.

“Watapigana mwezi Juni,” aliiambia FightHype kuhusu Joshua na Usyk.

Pambano lao la kwanza lilifanyika kwenye Uwanja wa Tottenham Hotspur ambapo bondia  huyo wa Ukraine alimdunda Joshua kwa point.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.