Boston Celtics Waiburuza Miami Heat

Kunako michezo ya NBA – Eastern Conference, Boston Celtics wameibuka kidedea dhidi ya mpinzani wao Miami Heat kwenye mchezo wa 5.

Fainali ya Eastern Conference inaendelea kupamba moto ikiwa tayari michezo 5 kati ya 7 imeshamalizika. Miami Heat wanaongoza kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya Celtics kushinda mchezo wa 5.

Celtics walikuwa tayari wameshafungwa 58-51 kabla ya kupambana na kupindua matokeo kwa ushindi wa pointi 121-108 dhidi ya Heat.

Jayson Tatum alifunga pointi 31 akisaidiana na Jaylen Brown ambaye aliongeza pointi zingine 28.

“Tulijua tulitakiwa kucheza vizuri, tulikuwa tunapambania maisha yetu. Ilituhitaji kutumia nguvu zetu kwa pamoja kwenye kipindi cha pili na ndicho tulichokifanya.” amesema Jayson Tatum

“Lengo letu ni kujakucheza, kushindana na kuonesha uwezo wetu. Tulicheza vizuri kwenye kipindi cha pili, tunapaswa kufanya hivyo mara nyingi zaidi kutokana na nafasi tuliyopo kwa sasa.” amesema kocha wa Boston Celtics – Brad Stevens.

Mchezo wa 6 utachezwa Jumatatu usiku.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

25 Komentara

    pongezi kwenu Boston celtics

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Hongera Sana Boston

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Pongezi kwao Boston

    Jibu

    Boston walishambulia sana na ndio ulikua nia ya ushindi wao walionekana kabic wamejipanga na gemu hile kwa upande wa Miami heat walijitaidi sana ila ndio ivyo tena bahati haikua kwao

    Jibu

    Sijajua Miami heat walikwama wapi maana ni timu ambayo pia ina wachezaji wazuri

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Pongezi kwao.

    Jibu

    Pongezi kwao boston

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Boston ni hatari ila mzik wa lakers hawaufikii

    Jibu

    Boston wametishaa

    Jibu

    Hongera sanaaa kwao Boston

    Jibu

    Pongezi kwao Boston

    Jibu

    Ongera yao

    Jibu

    Mapinduzi yanazidi tuu ndani ya NBA

    Jibu

    Basketball ni kati ya burudani ambazo zinaweza kkufanya usibanduke kwenye TV ukiendelea kukodoa macho#meridianbettz

    Jibu

    Moto mwingine huu boston

    Jibu

    Boston walishambulia sana na ndio ulikua nia ya ushindi wao walionekana kabic wamejipanga na gemu hile kwa upande wa Miami heat walijitaidi sana ila ndio ivyo tena bahati haikua kwao

    Jibu

    Kazi nzuri

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    NBA mambo yanaziki kushamiri kila kukikucha

    Jibu

    Hongera kwao boston

    Jibu

    Mambo ni moto

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.