Tabia ya Deontay Wilder kwa mwaka uliyopita tangu apoteza pambano lake kwa Tyson Fury mwaka mmoja uliyopita imefanya promota Eddie Heran aamini Wilder hayupo sawa kifikra.

Swali linakuja je Fury alivyompa kichapo Wilder alimletea madhara kwenye ubongo wake na kumbadilisha kutoka alivyokuwa mwanzo? KAa ni hivyo Je a huyo wa zamani wa WBC Wilder ambaye anarekodi ya kucheza mapambano (2-1-1, na KO 41) anaweza kupambana tena kwa levo ya juu?
Hearn alisema kwamba alisikiliza mahojiano ya Wilder wiki hii ambapo kwa kiasi kikubwa alikuwa akiongelea jinsi alivyo na ufalme na kumzungumzia mkufunzi wake wa zamani Mark Breland.
Wilder alitoa nadharia kuhusu Breland kuwa anamuonea wivu na alizungumzia kwanini alisimamisha pambano lake na Fury kwa maelezo ambayo hayana mantiki yoyote.
“Nenda na ukasikilize mahaojiano ya Deontay Wilder, amechanganyikiwa kabisa, amepoteza akili zake kabisa,” Hearn aliiambia iFL TV.
“Ukianza kujiongelea wewe mwenyewe kwa mtu wa tatu – acha nikwambie wafalme huwa wanafanya nini’ unaongelea kuhusu nini! Wafalme? Yeah sababu mimi ni mfalme, wewe siyo mfalme ndugu, umedundwa unaweza kuwa mfalme lakini siyo kwa sasa.
Sasa hivi hatujui kama Wilder atapigana tena ni mwaka sasa umepita tangu pambano la mwisho la Wilder na hana ratiba yoyote ya kupigana.
Unaweza kuvuna mkwanja mrefu kadiri uwezavyo kupitia mchezo wa Gold n Rocks kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ni rahisi! Vigezo na masharti, kuzingatiwa.
Khadija
Mh?? sema ngumi ni mchezo mgumu sana
Caroline
Pole yake inabidi akubali matokeo
Magdalena
Duh pole yake michezo mikali Sana hii
Issa
Hapa mtu atakalishwa
Angelina
Ngumi zimemchanganya
Sadick
Wilder ni bondia mwenye kipaji na bado ulimwengu unasubiri ahadi yake ya kuua mtu ulingoni
Sania
Mhh ngumi ni mchezo wa hatari
Mwanahamisi
Ngumi ni mchezo mzuri
Dorophina
Wilder ni mpiganaji mzuri sana
Neema juma
Pole yake.inabidi asikate tamaaa
Sarah
Mh ila ngumu nimchezo hatari sana
Adelta
Inabidi akubali matokeo
Rahma
Mmmhhh ngumi mchezo ngumu sana
Hopemwaikuka
Pole kwake
Lydia Emmanuel Magoti
Duuh pole kwake
warda
kupigwa sana kichwani lazima uchanganyikiwe