Licha ya kumchukia bondia Dillian Whyte, Anthony Joshua anamuombea Whyte amkung’ute Tyson Fury pale watakapo kutana mwezi Aprili katika uwanja wa Wembley Stadium.

Joshua Amtakia Ushindi Dillian Whyte Dhidi ya Fury

Joshua hajawahi kumkubali Dillian Whyte lakini hii imeonyesha ni jinsi gani hampendi Fury baada ya kumtaka Whyte kumkalisha Fury siku ya Tarehe 23 mwezi nne.

Fury atatafuta kutetea taji lake dhidi ya ‘Body Snatcher’ Whyte huko Wembley  Aprili 23, baada ya pambano lililokuwa likitarajiwa la Waingereza wote hatimaye kufikiwa kufuatia wiki kadhaa za uvumi.

“Ninampigia debe Dillian, ingawa namchukia, na ninataka kumvunja siku hizi.

“Nenda Dillian, nipo na wewe muda wote.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa