Pacquiao: Spence Hatakiwi Kuchukuliwa Poa!

Manny Pacquiao na Errol Spence wamepangwa kukabiliana katika pambano ambalo litafanyika Agosti 21 huko Las Vegas na wote wametoa maoni juu ya pambano hilo.
Pacquiao: Spence Hatakiwi Kuchukuliwa Poa!
T

‘Ukweli’ umeondoa mashaka yote juu ya hali yake ya mwili na akili  jinsi  anavyojitolea kwenye ndondi baada ya ajali ya gari.

“Kidevu changu tayari kimejaribiwa kabla ya kupigana, katika pambano dhidi ya Danny Garcia,” Spence alisema.

“Bado nina kidevu imara, lakini najua Manny Pacquiao atajaribu Agosti 21.”

Kwa upande wake, Pacquiao alikiri kwamba haipaswi kumdharau mpinzani wake huyo na akasifia kujitolea kwa Spence kwenye ndondi.

“Sitaki kujiamini kupita kiasi katika pambano hili kwa sababu Errol Spence ni aina ya mpinzani ambaye hawezi kudharauliwa,” alisema Pacquiao.

“Ni mzuri, ni mchanga na dhamira yake na mapenzi kwa mchezo huo yapo. Kujitolea kwake na jinsi anavyofanya mazoezi … nilimuona akifanya mazoezi.


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.