Shawn Porter: Nitawapa Kitu cha Kukumbukwa Novemba 20

Bingwa wa zamani wa IBF/WBC Shawn Porter (31-3-1, 17 KO) ametamba kwa mashabiki kwamba atawapa kitu cha kukumbuka siku ya Novemba 20 pale atakapo kabiliana na bingwa mara tatu wa WBO Welterweight Terence ‘Bud’ huko Mandalay Bay Resort& Casino ndani ya Las Vegas.

Terence alilazimika kuingia kwenye pambano kwa shinikizo la World Boxing Organization ambao walichukua hatua na kuagiza Bud kutetea mkanda wake dhidi ya mpinzani wake.

Pambano hilo limetangazwa wiki iliyopita na Crawford amefurahia kwa sababu anapaswa kujidhirisha kwa mashabiki ambao walikuwa na mashaka naye.

“Tunafuraha imetangawa sasa na tupo tayari,” alisema Shawan Porter kwa K.O Artists Sports juu ya pambano lake na Crawford.

“Kimsingi tunatakiwa kwenda uringoni na kufanya yetu. Naenda kuweka kitu cha kukumbukwa kwa muda mrefu.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.