Camavinga Aendelea Kubaki Rennes.

Eduardo Camavinga amesisitiza kuwa ataendelea kubaki katika klabu ya Rennes kwa msimu 2020-21 hali ya kuwa amekuwa akihusishwa na kujiunga na mabingwa wa LaLiga timu ya Real Madrid.

Camavinga mwenye umri wa miaka 17 amekuwa akihusihwa kujiunga na miamba hiyo ya Hispania ili akasaidiane na Casemiro .

Lakini kiungo huyo, ambaye ni mzaliwa wa Angola anamkataba na Rennes mpaka 2022, amesema ataendelea kubaki katika klabu hiyo ya Ligue 1.

Kwa sasa Camavinga anacheza katika timu ya taifa ya Ufaransa kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 23 na alisaini kandarasi yake ya kwanza na Rennes mwaka 2018 mwezi Disemba.

“Nimebakiwa na miaka miwili katika mkataba wangu na Rennes, nitakuwepo Rennes msimu huu,” Camavinga aliiambia Telefoot siku ya Ijumaa.

Camavinga alisema alikuwa akisumbuliwa kuhusu uvumi uliyokuwa unaendelea ukizingatia yeye anamkataba na Rennes.

“Lakini hainichanganyi. Ndiyo mpira,” alisema .

“Ujue kuna mambo ya ukweli na mambo ya uongo.”

Camavinga amecheza michezo 36 katika mashindano yote akiwa na Rennes msimu uliyopita na alitunikiwa nyota wa mchezo kwenye mchezo dhidi ya ya PSG waliposhinda kwa 2-1 mwezi Agosti mwaka 2019 na wataanza msimu mpya 2020-21 kwa mchezo dhidi ya Lille siku ya Jumamosi.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma zaidi ucheze

38 Komentara

    Anajiamin na kazi yake
    @meridianbettz

    Jibu

    Umli wake mdg na anamaamiz akulupuk

    Jibu

    nimempenda ana msimamo

    Jibu

    Ana msimamo mkali sana

    Jibu

    Ana umri mdogo lakini anaonekana amekomaa kiakili#meridianbettz

    Jibu

    Anamsimamo mzur#Meridianbettz

    Jibu

    mchezaji mwenye akili kubwa ya kufikiri na kutenda

    Jibu

    Yuko vzuri kwa kila anachofanya

    Jibu

    Camavinga ni mchezaji mwenye msimamo ataka kukuza kipaji chake kabisa

    Jibu

    Kachukua maamuzi ya uhakikaaa

    Jibu

    Msimamo wake mzuri

    Jibu

    Msimamo wake uko powah sana

    Jibu

    Ni vizuri zaidi mara nyingine kuonesha msimamo

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Camavinga anajua umuhimu wake wa yeye kubakia hapo.

    Jibu

    Msimamo wake mzuri sana#meridianbettz

    Jibu

    Big up meridianbet

    Jibu

    Nini anachokiogopa Camavinga?? Mbona ni jambo zuri kwenye career yake ya soka??

    Jibu

    Carvaninga kuenda madrid ni kupoteza kiwango chako baki rennes ukuze mpira wako

    Jibu

    Umri wake na mawazo yake haviendani kabisa ni jambo zuri kubaki kwenye timu yake anayoipenda

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Ni jambo zuri camavinga kuendelea kuitumikia club yako ya Rennes.

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Habar njema!

    Jibu

    Siku zote waswahil wanasema lisemwalo liko Kama haliko bas linakuja Eduardo Camavinga ni kinda mzur sana maana hiyo dogo Rennie amefanya mazur sana hivyo anauwezo wa kucheza na kuitwa Madrid muda wowote ule

    Jibu

    Ni vzur tu as long as ww huko ok hapo

    Jibu

    Habar njema kwa mashabik wa rennes na mashabik wake Kama atasalia tena

    Jibu

    Amefanya maamuzi sahihi

    Jibu

    Ni jambo zuri kuitumikia club yako.

    Jibu

    Safiiiii

    Jibu

    Siku zote waswahil wanasema lisemwalo liko Kama haliko bas linakuja Eduardo Camavinga ni kinda mzur sana maana hiyo dogo Rennie amefanya mazur sana hivyo anauwezo wa kucheza na kuitwa Madrid muda wowote ule

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Ni jambo zuri

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Litakua jambo zuri.

    Jibu

    Hongera kwa kuendelea kusalia Rennes

    Jibu

    Amefanya maamuz mazuri.

    Jibu

    Bora angejiunga na Madrid azidi kukuza jina

    Jibu

Acha ujumbe