Mchezaji wa zamani wa Manchester United Wayne Rooney amemcheka Christainao Ronaldo baada ya nyota huyo wa Ureno kudai kwamba Rooney anamuonea wivu.
Rooney aliongea wiki hii kwamba staa huyo aliyesajiliwa majira ya kiangazi kwamba ameshindwa kutimiza kile United walikuwa wanahitaji kutoka kwake licha ya staa huyo kuwa ndiye mfungaji bora wa United msimu huu.
Ronaldo alijibu mapigo kwenye mtandao wa instagram na akidai kwamba mchezaji mwenzake huyo wa zamani wa Red Devil anaweza kuwa na wivu na yeye.
Rooney alisema wachezaji wa sasa watakuwa na wivu na Ronaldo: “Nimeona asubuhi hii.” alisema Rooney
“Naweza nikasema hakuna mchezaji kwenye sayari hii ambaye hana wivu na Christiano Ronaldo.”
“Kwa mataji aliyoshinda, pesa anazomiliki….. six pack alizonazo kila mchezaji hata Lionel Messi ana wivu na Ronaldo.
Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.