Mchezaji wa zamani wa Liverpool Xherdan Shaqiri amesema anajivunia kuwa kucheza chini ya kocha Jurgen Klopp na mshambuliaji huyo alielezea uhusiano wake na kocha huyo.

Shaqiri, ambaye alisajiliwa hivi majuzi na Chicago Fire katika MLS, alielezea wakati wake na Reds kuwa “mzuri” kwani alikuwa sehemu ya timu zilizoshinda Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu.

Pia aliwasifu baadhi ya makocha wengine aliofanya nao kazi akiwemo Pep Guardiola

“Jurgen nimemjua kwa muda mrefu,” Shaqiri aliwaambia waandishi wa habari. “Tangu nilipoichezea Bayern, tulicheza dhidi yake alikuwa kocha wa Dortmund, kwa hivyo ulikuwa upinzani mkubwa huko.

“Nilikuwa na miaka mitatu mizuri ndani ya Liverpool, tulishinda mataji mengi, nilikuwa na wakati mzuri sana”.


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa