Timu ya Yanga imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya mahasimu wao wa jiji la Dar Es Salaam Simba SC katika dimba la Mkapa Stadium mchezo wa Ngao ya Jamii siku ya Jumamosi.
Yanga imeshinda Ngao ya Jamii kwa mara ya 6 baada ya kushinda bao 1-0 dhidi ya Simba likifungwa na Fiston Mayele dakika ya 11.
Wanasema kuna raha kushinda Ngao ya Jamii lakini kuna raha ya kipekee kushida mbele ya mtani wako inawezekena ushindi huu kwa yanga umeleta tumaini kwa Wananchi kufanya vizuri katika ligi kuu msimu unaokuja.
Timu zote ziliingia uwanjani zikilenga kuondoka na ushindi lakini leo bahati ilikuwa upande wa yanga.
Ligi kuu Tanzania inatarajia kuanza kutimua vumbi Septemba 27, siku ya Jumatatu kwa mchezo wa mapema utakuwa ni Mtibwa Sugar dhidi ya Mbeya Kwanza saa nane mchana, ikifutaiwa na Namungo dhidi ya Geta Gold vile vile Coastal Union dhidi ya Azam itchezwa saa kumi kamili jioni.
Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.



Sania+mapua
Mgumba amezaa