Mshambuliaji nyota wa klaby ya Paris Saint-Germain Neymar Jr ameweka wazi kuwa hana mpango wa kuondoka klabuni hapo kwenye dirisha la usajiri kwenye majira ya kiangazi baada mchezaji mwenzie Kylian Mbappe kuongeza mkataba.

PSG  wamevunja kibubu kuhakikisha mshmabuliaji wao aliyekuwa anamaliza mkataba wake na mabingwa hao Mbappe anabaki haendi Real Madrid, maamuzi ambayo yamepelekea vita kati Ligue 1 na La Liga.

Neymar

Kusalia kwa Kylian Mbappe kwenye Ligue kumepeleka uvumi kuwa klabu ya PSG imepanga kumpigia bei mchezaji Neymar ili kuweza kupunguza bili za matumizi na mshahara ili kuweka uwiano sawa wa matumzi.

L’Equipe hivi karibuni lilidai kuwa kwamba klabu ya PSG imefungua milango kwa Neymar ikiwa tu klabu yoyote itaweka dau la kuvutia, lakini mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil hana mpango wa kuoandoka klabuni hapo.

“Ni kweli kwa upande wangu nataka kusalia hapa.” Neymar aliambia Goal

“Hakuna mtu yoyote alienimbia kitu chochote, lakini kwa upande wangu, iko wazi kabisa nataka kubaki hapa.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa