Lionel Messi amesema siku hizi haangaiki tena na kufunga magoli na nyota huyo wa timu ya Barcelona na Argentina anaangalia mafaniko ya timu pekee.
Messi amesimama pekee yake kileleni akiwa ni mfungaji bora wa muda wote katika chati za miamba ya LaLiga Barcelona na timu ya taifa ya Argentina.
Mshindi mara sita wa tuzo ya Ballon d’Or ameongeza rekodi yake ya kufunga katika timu ya taifa kwa kufkisha magoli 71 baada ya kufifungia Argentina 1-0 dhidi ya Ecuador wiki iliyopita katika michezo ya kufuzu kushiriki kombe la Dunia.
Lakini Messi sasa ameweka kipaumbele malengo ya timu, ameiambia Garganta Poderosa magazine: “Leo sihangaiki tena na kufunga, najitahidi kujituma kadri niwezavyo kwaajili ya timu.”

Messi ni mchezaji wa Barcelona wa muda wote anaye ongoza kwa kufunga magoli mengi akiwa na jumla ya magoli 635 aliweza kuichezea klabu hiyo ya Hispania tangu mwaka 2004.
Katika idadi hiyo ya magoli 445 amefunga katika LaLiga na kuweka historia katika ligi hiyo akifuatiwa na mchezaji wa zamani wa Real Madrid Christiano Ronaldo akiwa na magoli 311.
Messi mwenye umri wa miaka 33 amefunga mara 115 katika Champions League, pia amefunga magoli 53 katika Copa del Rey,14 katika Supercopa de Espana, na matatu katika UEFA Super Cup na matano katika Club World Cup.
Tangu alipoanza kucheza dhidi ya Espanyol miaka 16 iliyopita Messi amefanikiwa kutwaa taji la LaLiga mara 10, Copa del Rey mara 6 na Champions League mara nne.
Msimu 2020-21 Messi amefanikiwa kufunga goli moja katika michezo mitatu ya LaLiga akiwa chini ya mwalimu Ronald Koeman.
Messi am,eendelea kuitumikia Barcelona licha ya kutaka kuondoka wakati wa dirisha la usajili na alikuwa akihusishwa kwa kiasi kikubwa kumfuata kocha wake wa zamani Pep Guardiola wa Manchester City.
Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua.



Caroline
Messi atabaki kua juuuu
magdalena
messi anajituma sana akiwa uwanjani kuhakikisha timu yake inafanya vizuri na itabaki kuwa tu ivyo
zeiyana
ni kweli messi yupo sahii sasa hivi hatumie nguvu zake nyingi kuiweka timu yao kwenye ubora
Sauda
Messi fundi
Saupha mohamed
Messi MTU mbayaa
Fatina mfigi
Duuh kwa nn tena
Mwajumah
Messi anachosema ni sahihi sana pongezi kwake
Adelta
Messi niwa kiwango cha juu
Antony Luseno
Kwa apo alipofikia yupo sahihi kwa anachokisema
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri alicho kiongea Messi mamuziyake ndio yalio mtuma kufanya hivyo
Ernest
Tatizo mara zote Messi amekuwa hapokei support kubwa kutoka kwa team mate katika level ya Club na Taifa hivyo kumfanya kukosa baadhi ya mataji mbali na mchango wake mkubwa katika timu hizo
felister
🤣🤣 naona Messi kashachoka
Janeflora malisa
Jesh kubwa
Tatu
Mess anapokuwa uwanjani anajiamini sana na kama ikitokea amefungwa anaumia sana
Hopemwaikuka
LA pruga nimoto
Dorophina
Kwa uwezo wake Messi kwa sasa kweli kabisa inatakiwa haangalie timu inaendaje kipindi hiki
Gabriel
Messi fundi
Mariam mtandama
Safi
Povel
Shida Messi hajatuonyesh ubora kwny level ya national Timu
Sabrina
Messi mtu mbadi
Issa
Mess ni moto san huyu jamaa
Elika
Dah mambo si mambo sasa
Fatuma kasomo
Mess fundi
aisha
Mess mtu mbaya
Amiri Kayera
Mafanikio ya team muhim maan wanamda awajapata vikombe
warda
Hasira za nini sasa