Rakitic Asherehekea Ubingwa wa Sevilla Europa League.

Ivan Rakitic ameruka katika dimbwi lake la kuogelea na kusherehekea ushindi wa Sevilla katika fainali ya Europa League uliyochezwa nchini Ujerumani siku ya Ijumaa.

Sevilla wameshinda kombe hilo ikiwa ni mara ya sita kutwaa taji hilo baada ya kuiburuza Inter kwa goli 3-2 katika jiji la Cologne.

Rakitic amekuwa akihusishwa na kurudi katika klabu yake hiyo ya zamani baada ya kuitumikia Barcelona kwa kipindi cha miaka sita.

Kiungo huyo alikuwa akifanya mahojiano na SFC Media wakati alipo jirusha kwenye dimbwi lake akiwa amevaa nguo kusherehekea mafaniko ya klabu ya Sevilla.

Rakitic alifanikiwa kushinda Europa League mwaka 2014 akiwa na Sevilla kabla ya kujiunga na miamba ya Spain Barcelona ambako alifanikiwa kushinda mataji mannne ya LaLiga na Champions League na mataji mengine ya ndani.

Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Croatia amekuwa akihusishwa na kuondoka Barcelona ambako Ronald Koeman amechukua nafasi ya Quique Setien akiwa kama kocha mkuu.

Rakitic aliondoka benchi kwenye mchezo wa robo fainali ya Champions League mchezo mbao Barca ilipokea kipigo cha kizito cha 8-2 wiki iliyopita kutoka kwa Bayern Munich ambao wamefuzu fainali ya michuano hiyo.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma zaidi ucheze

33 Komentara

    rakitic yupo vizuri sana tena sana na anajituma sana

    Jibu

    Hiyo nimoja ya kumpengeza mtu aliye fanya vizuri haja kosea Rakitic kufanya ivyo na ukiangalia ni kati ya mchezaji ambaye hanasalia kusajiliwa kwenye clabu hiyo

    Jibu

    Namkubali sana uyu jamaa

    Jibu

    Roho inaniuma sana kwa Ivan Rakitic kuondoka Barca lakini hakuna jinsi, Ila Sevilla wanazidi kujiongezea fundi mwingine wa mpira, Barca sijui wanajenga au wanabomoa lakini wakati utaeleza tuu

    Jibu

    Kijana Rakitic Yuko vizuri na anajuwa majukumu yake @meridianbettz

    Jibu

    akitic yupo vizuli sana#meridianbettz

    Jibu

    Acha afurahi ushindii raha sanaaa

    Jibu

    Rakitic yupo vizuri Barca wamempoteza jembe la kazi hongera Sevilla kwa ushindi mjipange kwa msimu mwingine unaoanza

    Jibu

    Rakitic yupo vizuri sana

    Jibu

    safi Rakitic ushindi raha bana

    Jibu

    Nic

    Jibu

    Acha afurah ushind raha sana#Meridianbettz

    Jibu

    Croatia sehemu ya Yugoslavia ya zamani ambako kuna vipaji vingi sana vya soka na Rakitic ni mmoja kati ya maelfu. Yupo Barcelona lakini moyo wake upo Sevilla#meridianbettz

    Jibu

    Rakitic yupo vizuri Sana anajua jembe hilo

    Jibu

    Good

    Jibu

    Rakitic rudi nyumbani huko sevilla ni hatari

    Jibu

    Kusherehekeaa ni wajibu wao kwa kwelii

    Jibu

    Ni jambo zuri kushehekea ushindi ulio upata.

    Jibu

    Kusherekea ni haki yake

    Jibu

    Ivan Rakitic amecheza kiwango cha kufurahisha sana 👍 n haki yake kusherekea ubingwa

    Jibu

    Good

    Jibu

    Wametishaa acha awafurahie

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Inaonesha rakitic anaipenda club yake ya dhamani licha ya kuitumikia barca kwa sasa.

    Jibu

    Ukishinda lazima uwe na furahaaa!!!!

    Jibu

    Roho inaniuma sana kwa Ivan Rakitic kuondoka Barca lakini hakuna jinsi, Ila Sevilla wanazidi kujiongezea fundi mwingine wa mpira, Barca sijui wanajenga au wanabomoa lakini wakati utaeleza tuu

    Jibu

    Ni moja wapo ya kushangilia au kupongeza timu inayofanya vizuri safii sana rakitic

    Jibu

    Rudi nyumbani sevilla.

    Jibu

    Mwachi Ratikc ashangilie ubingwa

    Jibu

    Sevilla hawatakagi kabisa masihala

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.