Michezo - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tathmini za Michezo: Derby ya Simba vs Yanga

Daily News

Tathmini zinasema ,  leo Jumamosi shughuli ni moja tu, pale kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke, jijini Dar ambapo mapacha wa Kariakoo watashuka dimbani majira ya saa 11:00 jioni kwenye vita ya dakika tisini kutafuta nani mbabe. …

Dk Abbasi: Sports Betting Kusaidia Michezo

News

Katibu Mkuu wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbasi, amezitaka Kampuni za Ubashiri wa Michezo (Sports Betting) kuwa sehemu ya kuinua na kukuza michezo nchini.   Dk. Abbasi …

Cavani Kuikosa Michezo Mitatu Ya United.

Daily News

Sheria ni msumeno. Edinson Cavani amefungiwa michezo 3 kunako Ligi Soka nchini Uingereza. Hii ni baada ya kufanya kosa la kimtandao. Uongozi wa FA umemfungia Edinson kufuatia chapisho aliloliweka mtandaoni …

Michezo ya Soka Leo Ligi Mbalimabali.

Football

Michezo ya Soka Katika Ligi Mbalimbali Tarehe 12 September 2020. England – Premier League 14:30 Fulham -:- Arsenal 17:00 Crystal Palace -:- Southampton 19:30 Liverpool -:- Leeds United 22:00 West …

Ratiba ya Michezo ya Leo Tar 25_07_2020.

Daily News

Michezo mbalimbali itachezwa Leo, Ifuatayo ni Michezo itakayopigwa katika Viwanja mbalimbali. 🎯Ligi ya Majimbo – National League:: Mtoano 16:30 Harrogate Town vs Boreham Wood 19:00 Notts County vs Barnet 🎯Ligi …

Historia ya Michezo ya Olimpiki.

Daily News

Historia inaonesha kuwa Michezo ya Olimpiki ilianza zaidi ya miaka 3,000 iliyopita katika mji wa Olympia, Kusini Magharibi mwa nchi ya Ugiriki. Madhumuni ya michezo hii ilikuwa ni tamasha la …

1 2 3 4 5 6 316 317 318