Pioli - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

AC Milan Kununuliwa na Wamarekani

Daily News

Klabu ya AC milan inakaribia kununuliwa na kampuni ya uwekezaji kutoka marekani ya  RedBird kutoka kwa hedge fund Elliott, chanzo cha habari ni kutoka nchini Italia waliwaambia Reuters. Shirika la …

AC Milan Kumnasa Sven Botman

Daily News

Klabu ya Ac Milan wamekubaliana na mlinzi wa klabu ya LOSC Lille Sven Botman kuhusu uhamisho wake ambapo wiki iliyopita walikuwa na mazungumzo na klabu yake kuhusu uhamisho wa wachezaji …

Oliver Giroud Aliwakataa City na Spurs!

Daily News

Mshambuliaji wa AC Milan Olivier Giroud anaripotiwa kukataa ofa kutoka kwa vilabu vingi, wakiwemo Manchester City na Tottenham Hotspur ili kusaini Milan msimu uliopita wa joto. Mchezaji huyo mwenye umri …

Tetesi za Soka barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester City itapaswa kuongeza juhudi kumpa mkataba wa muda mrefu winga wa England Raheem Sterling, 26 ambaye anahusishwa na Barcelona, ili aweze kusalia klabuni hapo. Manchester United …

Ibrahimovic Akanusha Kumtukana Refa.

Daily News

  Kocha wa AC Milan, Stefano Pioli amesema mshambuliaji wake Zlatan Ibrahimovic amekanusha kumtukana refa Fabio Maresa baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya Parma. Ibrahimovic alianza katika kikosi hicho …

Mandzukic Anahitaji Kuwashawishi Milan

Daily News

Fowadi wa Milan, Mario Mandzukic amekuwa akipambana na majeraha tangu aliporejea Italia na Rossoneri (Milan) wanaripotiwa hawana mpango wa kuongeza mkataba wake. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Juventus alirudi Serie …

1 2 3 5 6 7 8 9 10