Jemedari  Said kazumari ni moja ya wachambuzi nguli wa soka na barozi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Meridianbet na leo ameteka hisia za wapenzi wa soka kwa kushusha ujumbe mzito kumhusu aliyekua mchezi wa Yanga na baadae kutimkia Simba Bernard Morrison

kwenye kurasa wake wa Instagram Jemedari Saidi amenaidika “Taarifa za kuaminika ni kuwa Mchezaji Benard Morrison yupo kwenye hatua za mwisho kumalizana na Yanga ”

“Inaelezwa kuwa Morrison alitakiwa kusafiri wiki hii kwenda kwao Ghana na uongozi wa Simba ulishafanya taratibu zote za kumkatia tiketi”

“Lakini katika hali isiyotarajiwa viongozi wa Simba wakimpigia simu Morrison kumuuliza kuhusu safari yake hapokei na wala hajibu msg”

“Katika hali ya kushangaza zaidi Afisa wa Simba aliyekua akimpigia simu Morrison alipokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa ni Hajji akimuonya kuwa aache kumpigia Morrison”

Jemedari Saidi
Jemedari Saidi

“Afisa wa Simba aliendelea kumpigia Morrison na akapigiwa tena na mtu yule na kumueleza ujumbe ule ule kuwa aache kumsumbua Morrison”

“Imefahamika kuwa Morrison huenda akasafirishwa na Yanga kwenda Mwanza kushuhudia mchezo wa nusu fainali ya Azam Sports”

“Taarifa za ndani ya Yanga zinaeleza kuwa viongozi wa Yanga wamegawanyika juu ya ujio wa Morrison ambapo wengi hawamtaki mchezaji huyo lakini mtu mmoja mwenye ushawishi kwa Boss ndio anaengangania usajili huu.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa