Madaktari Wamstopisha Straika Polisi

ALIYEKUWA straika wa Polisi Tanzania, Gerald Mdamu amesema kuwa madaktari wamemsogezea mbele siku za kurejea uwanjani mpaka katikati ya msimu ujao.

Mdamu alivunjika miguu kwenye ajali ya timu hiyo ambayo ilitokea wakati kikosi hicho kikitoka mazoezini kurejea kambini.

Mdamu amesema kuwa “Namshukuru Mungu naendelea vizuri kwa sasa naweza kutembea umbali mrefu.

“Madaktari wameniambia kwa msimu huu naweza kuanza kucheza mpira kuanzia katikati ya msimu. Kwa upande wa viongozi wa Polisi bado nawasikilizia kwani hawajanitafuta kwa ajili ya kuongeza mkataba.”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.