TIMU ya Taifa ya wanaume ya U 23 ipo tayari kucheza dhidi ya timu ya taifa ya Nigeria kwenye mchezo wa kufuzu AFCON ya vijana.

TU 23 imesafiri mpaka Nigeria katika kutafuta tiketi ya kuliwakilisha taifa kwenye mashindano ya mataifa ya Afrika, ambapo wanatarajiwa kucheza mchezo wao wa marudiano mapema kesho Jumamosi nchini Nigeria.

 

U 23 Tayari Kuvaana na Nigeria

Timu hiyo imefanya mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na mchezo huo mara baada ya mcehzo wa kwanza uliopigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa kumalizika kwa sare ya 1-1 ambapo mshindi wa jumla atafanikiwa kufuzu AFCON.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa