Paul Merson amemuonya kocha ajaye wa klabu ya Manchester United Erik ten Hag kuwa akibaki na mshambuliaji Cristiano Ronaldo kuwa atapotea kwenye msimu wake wa kwanza kwenye klabu hiyo.

Mchezaji huyo wa zamani amekuwa alianza kukosao usajiri wa Cristiano Ronaldo na amendelea kumkosoa zaidi, japo Ronaldo amekuwa akitoa mchango mkubwa kwenye klabu hiyo na kufunga magoli muhimu huku akiwa na goli 24 na hat-trick msimu huu.

Erik ten Hag, Erik ten Hag Aonywa Kuhusu Cristiano Ronaldo, Meridianbet

Erik ten Hag lazima aiondoe risasi yake na kumuondoa Ronaldo au atapoteza mwaka wake wa kwanza akiwa Manchester United, kama unaleta kocha ambaye atakaa kwa miaka mitatu au minne, huwezi kupoteza muda na mshambuliaji .

“Ronaldo ni mshambuliaji mzuri, Lakini kila mtu kwenye klabu amekuwa akimuogopa. baadhi ya wachezaji wamakuwa bora kutokana na watu wanaowazunguka, wengine wanakuwa wabovu.

“Mwangalie Benzema anafanya vizuri sasa hivi, na maefunga magoli 43 msimu huu. sikumbuki ni lini amefanya hivyo Ronaldo alivyokuwepo pale.” Alisema Paul Merson


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa