Bodi ya Premier League imethibitisha mapendekezo ya kuuzwa kwa klabu ya Chelsea kwa Todd Boehly na washirika wake kama ilivyotangazwa hii leo kwenye ligi hiyo.

Todd Boehly anayemiliki klabu ya Los Angeles Dodgers na washirika wake, wamekubali kulipa kiasi cha £4.25bilioni kuinunua klabu hiyo kutoka kwa Roman Abramovich ambaye amekuwa akiimiliki kwa miaka 19 sasa.

Premier League, Premier League Wathibitisha Kuuzwa kwa Chelsea, Meridianbet

Waraka wa Premier League uliotoka leo jioni unasomeka ” Bodi ya Premier League leo imethibitisha mapendekezo ya kuinunua klabu ya chelsea kwenda kwa Todd Boehly/Clearlake na washirika wake.

“Malipo yanabaki chini ya serikali ambao wanatoa kibali cha mauzo na kujiridhisha maridhiano ya mwisho hadi hatua ya malipo.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa