Max Verstappen Amejihirishia kua yeye ni Nyota, na muda wowote anaweza kuingia kwenye kushindanishwa na Lewis Hamilto, Swali ni je atamuweza?. Ameonekana akivunja baadhi ya rekodi msimu uliopita, Tumeona ukuaji wake akichukua mataji na akiendelea kujiongezea umaarufu na kujijazia mashabiki na sasa yawezekana ikawa ndio muda wake wa kunyakua na mataji ya ubingwa wa dunia wa Fomrmula 1.

Ni dereva mzuri mwenye gari zuri zaidi, Madereva wengine mashuhuri wamekua wakimuhofia na wanatarajia kuona mambo mengi makubwa kwa mawaka 2020. Kitendo cha kumfukuzia Hamilton kwa ukaribu kimewavutia wengi sana wanaofuatilia mchezo huo
“Kuelekea kwenye Shindano lake la kwanz a, natamani kuona Max ana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa dunia wa Formula 1” Amesema afaisa habari wa Formula 1 Martine Bundle.

Hamilton anatajwa kua ndie dereva bora kuwahi kutokea kwenye mashindano ya Formula 1, nae anaendelea kujitapa kua hitoria ya ubora wake haitaweza kubadirishwa kwa miaka ya karibuni.
Tangu kufanikiwa mwaka ule, amekua ni dereva kamili na kua bingwa kwenye kila shindano na kufanikiwa kutwaa ubingwa mara saba akiwa na umri wa miaka 22 tu.


hamidu
wazo zuri sana…akipambana anaweza akafika mbali
Furahav
Vizur wakimbize wasiojua.
Salma
Penye nia pana njia
Tahiya
Kwa upande wangu Lewis Hamilton ndio dereva bora wa formula 1 mrithi wa Michael Schumacher
mathayo sonje
kwa jinsi hamilton alivyo mahiri sidhani kama verstappen atatimiza nia yake
Hopemwaikux
Lewis is best of all time
waziri
verstappen lete mapinduzi kwenye fomula 1, hamilton tushamzoea
Amani
Awezi Moto wa Hamilton
Njiku
Mambo ya fomular1
farida ahmadi
Mawazo mazuri Sana hongera