Chelsea wanajiandaa kufanya uhamisho wa kwa kipa wa Borussia Dortmund, Roman Bürki kama mbadala wa Kepa Arrizabalaga, kulingana na ripoti.
Roman Bürki alijiunga na Borussia Dortmund mwezi Juni mwaka 2015 na kufanya vizuri kwenye msimu wa mwaka 2015-16 hususan kwenye mechi ambayo Borussia Dotmund ilimchapa mpizani wake Borussian Monchegladbach kwa magoli 4-0. na kumaliza msimu ule kwa kutokufungwa Mechi 15.
Kepa Arrizabalaga alisainiwa kwa pauni milioni 71.6 mnamo 2018, Amekuwa na kiwango cha chini msimu huu na kupigishwa benchi na kocha wake Frank Lampard kwa michezo mitano ya PL kabla ya janga la coronavirus kusitisha msimu.

Kipa wa Ajax, Andre Onana amehusishwa sana na kuhamia Stamford Bridge na inaonekana mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 , Anatarajia kuondoka katika klabu hiyo ya Uholanzi kwenye dirisha linalofuata la uhamisho… Lakini kulingana na The Sun, Chelsea sasa wanalenga kumnasa kipa huyo Namba moja wa Dortmund na timu ya taifa ya Uswisi
mwakalosi
kepa ujeuri wake umemponza sasa
Antony Luseno
Bora aondoke akabadilishe mazingira
Hope mwaikuka
Aende tu
Adelta
Chelsea walikuwa na kila haja ya kutafuta golikipa mwingine
felister
aende akaangalie sehemu nyingine mbele ya safariii
Tahiya
Ni vyema kujaribu bahati yke klabu nyingine
Juliana
Kambi popote check tu masilai kama pesa ipo nenda tu
Frank Patrick
Kepa wa bilbao ndio alikuwa kipa mzuri sana ila huyu wa Chelsea ni pazia tu
Ernest
Chelsea wanatapatapa tuuu
aisha
Chelsea wasijali mambo yatakua mazuri
Asia Abdy
Aondoke tu kwakwel
Hamidu
Wakimpata huyo kipa watakuwa wameramba dume …moja ya makipa wa Bora kwa sasa katika ligi ya ujeruman#meridianbettz
Ester jackson
Watakuwa wamepata kipa mzuri sana wachangamke sasa tunataka vitu tofauti sana Chelsea
Theckla
Kepa alikuwa wa zamani lkn sio sasa
Amani
Amekuwa na kiwango cha chini msimu huu na kupigishwa benchi na kocha wake Frank Lampard
Gabriel
Bora aondoke maana kepa bado anadaka chini ya kiwango
Lombo
roman yuko vzur anajielewa kwa kwel
Povel
Kepa yupo vzr sema mazingira na kutoelewana na kocha darajan thnks meridian bet to
Kenani
Tatizo ujeuli ndo umemsababisha atafutiwe mbadala
Emmy cleopa
Aende tu
Swai
Lakini kulingana na The Sun, Chelsea sasa wanalenga kumnasa kipa huyo Namba moja wa Dortmund hatari sana
Genia Sikaluzwe
Aende tu hawanafaidanae
Sadick
Kepa ni golie mzuri apewe muda.
Inawezekana mambo yanayotokea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ndio yanamuweka benchi vinginevyo yupo vizuri#meridianbettz
Neema hassan
Hana jipya
Furahav
Huyu kipa yuko vizuri
Warda
Ila mie nilikuwa namkubali sana #Meridianbettz
Rehema Dickson
huyo kipa watakuwa wameramba dume …moja ya makipa wa Bora kwa sasa katika ligi ya ujeruman