Serikali ya Uingereza Yapitisha Ombi la Marcus Rashford

Nchini England, Kufuatia barua ya wazi iliyoandikwa na mshambuliaji Marcus Rashford kwenda kwa Wabunge, Serikali nchini humo imetangaza rasmi kufanya mabadiliko na kupitisha mapendekezo kuendelee kuwapatia chakula cha bure wanafunzi wote ambao wanatoka katika familia duni.

Zaidi ya watoto milioni 1.3 watapata vocha za bure za chakula wakati wa likizo katika msimu wa joto, mabadaliko hayo ni matunda ya kampeni iliyoendeshwa na Marcus Rashford.

Katika barua yake ya wazi kwenda kwa Wabunge aliyotuma jana Jumatatu, mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22 akusita kuelezea uzoefu wake mwenyewe kipindi anasoma kwani alikuwa akitegemea chakula cha bure kinachotolewa shuleni.

Serikali itaendesha mpango huo kwa utaratibu wa kutoa msaada wa dola 15 kwa wiki kwa kila mtoto, na utagharimu zaidi ya dola milioni 120 (Bilioni 350) kwa kipindi chote cha likizo.

40 Komentara

    Rashford amekua kitendo cha kukumbuka alikotoka. Na hivi ndivyo tunapaswa kuwa#meridianbettz

    Jibu

    Rashford namkubal Sana anajua kujituma

    Jibu

    Well done Rashford for your good Heart to others.

    Jibu

    Amefanya kitu kizuri na Ni mfano wa kuigwa na watu wote wenye uwezo

    Jibu

    Rashford Yuko vizuri sn tena anajituma

    Jibu

    wazo zur sana hilo

    Jibu

    safi sana

    Jibu

    Hii imekaa vizuri sana,kumbe sio uwanjani tu yupo vizuri adi maswala ya kijamii maana wengine hawakuliona hili asa wachezaji

    Jibu

    Kweli dogo ashakua mpka maoni yake uamefanyiwa kazi

    Jibu

    Namkubali yupo vizur

    Jibu

    Safi sana marcuz hakika mungu alisikia maombi yako

    Jibu

    Rashford yuko vizuri

    Jibu

    Rashfold wazo zuri kusaidia wasiojiweza

    Jibu

    Ni Jambo jema sana

    Jibu

    Safi sana inafaa kuigwa kwa watu wengine

    Jibu

    Maoni:safi sana Marcus Rashford napenda sana mtu anaojali wengine.

    Jibu

    Vizur sana

    Jibu

    safi rashford mwenyezi akuongezee pale ulipopungukiwa

    Jibu

    N jambo jema alilolifanya star huyu Rashford

    Jibu

    Rashford namkubali sana

    Jibu

    Yuko vizuri namkubali sana

    Jibu

    Well ✅

    Jibu

    Rashford yupo vzr sana#meridianbettz

    Jibu

    Vizr

    Jibu

    vizuri sana , inapendeza kama hivyo

    Jibu

    Kwa wachezaji wa bongo.. Rashford ni mfano wa kuigwa#meridianbettz

    Jibu

    Ubarikiwe kwa moyo huo

    Jibu

    Rashford mchezaji mahiri..

    Jibu

    Wanasema msanii ni kioo cha jamii kumbe hata kwa wachezaji au wanamichezo ni mfano wa kuigwa Kama rashford katika kuisaidia jamii inayo tuzinguka

    Jibu

    Well🤝🤝🤝🤝

    Jibu

    Moyo wa kujitoa kama public figure bila kujijali binafsi

    Jibu

    Nimfano wakuigwa

    Jibu

    najaribu kuvuta picha hii ingekuwa hapa kwetu huyu mkojani ndio katoa waraka wake huo nawaza tu jinsi wenzetu wanavyojali influencer

    Jibu

    Hongera sana kijana

    Jibu

    Ni jambo LA furaha sana hata kwake mwenyewe kuona serikali ya uingereza imefuata ushauri wake

    Jibu

    Rahidi yupo vizuri sana#Meridianbettz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Rashford namkubali

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

Acha ujumbe