Messi Nje Kwenye Kikosi Kitakacho Cheza na Monaco

Mshambuliaji wa klabu ya Paris Saint-Germain Lionel Messi ataukosa mchezo wa ligi kuu ya Ufaransa dhidi ya Monaco kutokana na kusumbuliwa na mafua kwa siku kadhaa sasa klabu yake yathibitisha.

Messi alijiunga na Paris Saint-Germain majira ya kiangazi, amekuwa bado akisusua kwenye klabu hiyo kwenye msimu wake wa kwanza kabla ya mchezo wa leo dhidi ya Monaco, Lionel ameichezea klabu hiyo michezo 26 kwenye mashindano yote lakini amefanikiwa kufunga magoli saba tu, ukilinganisha na msimu wake wa mwisho Barcelona ambapo alifunga magoli 38.

PSG ukiachana na Lionel Messi, pia watawakosa Keylor Navas, Sergio Ramos, Angel di María, Juan Bernat, Layvin Kurzawa na  Ander Herrera ambao wameshinda kusafiri na timu kwa matatizo mbalimbali.

PSG wapo kileleni kwa alama 15 kwenye msimamo na wanafanya kila wawezalo ili kuweza kuweka kumbukumbu ya kuchukua ubingwa wa 10 wa Ligue 1.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe