Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji Romelu Lukaku atakosa michezo miwlili ya kimataifa ya mashindano ya UEFA National League kutokana na majeraha ya enka ambayo aliyapata kwenye mchezo dhidi ya Uholanzi.
Romelu Lukaku atakosekana kwenye mchezo wa jumatano dhidi ya Poland na pia hatacheza kwenye mchezo wa jumamosi dhidi ya Wales, kocha wa timu hiyo Martinez alisema “Lukaku amepata majeraha kwenye mchezo tuliopoteza 4-1 dhidi ya Orange wiki iliyopita jijini Brussels.”

Pia aliongezea kuwa mshmabuliaji huyo wa Chelsea hakupata majeraha mabaya sana kama ilivyodhaniwa, lakini lukaku anatarajia atakosa mchezo wa wa June 14 dhidi ya Poland.
“Kuna nafasi ndogo sana ambayo inaweza kumfanya kuwepo kwenye mchezo wa mwisho,” alisema Martinez
SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR
SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

SOMA ZAIDI HAPA

