Mchezaji wa zamanii wa kimataifa wa Cameroon Samuel Eto’o amenusurika kwenda jera nchini Hispania kwa kosa la kukwepa kodi.

Mchezaji huyo wa zamani wa klabu ya Barcelona alikubari kwenda jera kwa miezi 22 na mamlaka za usimamizi wa kodi nchini Hispania. Pia alipigwa faini na itampasa kulipa kiasi cha €4 million ambayo alikwepa kulipa kati ya mwaka 2006 na 2009.

Samuel Eto’o

Kwa mara ya kwanza nchini Hispania kifungo cha zaidi ya miaka miwili kusitishwa. Eto’o alikubali kosa na kumshushia lawama muwakilishi wake José Maria Mesalles, ambaye alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jera.

Kabla ya kustaafu mwaka 2019, Samuel Eto’o alifanikiwa kuzichezea klabu za Real Madrid, Real Mallorca, Inter Milan, na Chelsea.

Pia Kuanzia mwaka 2004 hadi 2009 alipokuwa na Barcelona alifanikiwa kushinda, mataji mawili ya UEFA Champions League na mataji matatu ya La Liga.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa