Xavi Kumtoa kwa Mkopo Depay

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi yupo kwenye mikakati ya kumpeleka kwa mkopo nyota wa timu hiyo Memphis Depay wa miezi sita ili kuweza kumpa nafasi ya kucheza mholanzi mwenzie Luuk de Jong.

Mshambuliaji wa uholanzi Memphis Depay  amwkuwa na msimu mzunri kwenye klabu ya Barcelona huku akiweza kufunga mara 8 kwenye michezo 16 kwenye La Liga, lakini hajaweza kumshawiahi kocha wake aliyetua novemba akichukua mikoba ya Ronald Koeman.

Xavi

Xavi amekuwa akivutiwa zaidi na mchezji wa kimatifa kutoka uholanzi ambaye anatokea taifa moja na Depay, huku wiki za karibuni aamekuwa akimtumia zaidi .

Kwenye mchezo wa El Clasico Depay alianzia benchi huku De Jong akiwa kwenye kikosi, huku mchezo wake wa kwanza dhidi ya mallorca mwaka huu  2022 aliweza kufunga huku siku sita baadae alifunga tena dhidi ya Granada


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe