Kikosi cha timu ya taifa cha Ubelgiji kimetangazwa mchana wa leo kitakachokwenda nchini Qatar kwwajili ya kushiriki michuano ya kombe la dunia huku nyota wa Real Madrid Eden Hazard akiendelea kuwepo kwenye kikosi hichi chini ya mwalimu Roberto Martinez raia wa Hispania.

Licha ya kutokupata nafasi ya kucheza mara kwa mara ndani ya kikosi cha Real Madrid lakini kocha wa timu hiyo amemuita nyota huyo wa zamani wa klabu ya Chelsea.hazardEden Hazard amekua akisumbuliwa na majeruhi mara kwa mara tangu ajiunge katika klabu ya Real Madrid mwaka 2018 jambo ambalo limefanya nyota huyo kutopata nafasi ya kucheza zaidi kwenye kikosi cha Real Madrid.

Licha ya kutokupata nafasi ndani ya Real Madrid Hazard amekua akicheza kwa kiwango cha hali ya juu anapoitwa kwenye timu ya taifa, Hivo nyota huyo ameendelea kua mwanajeshi mtiifu wa kocha Roberto Martinez.hazardPia nyota wa klabu ya Intermilan Romelu Lukaku amejumuishwa kwenye kikosi hicho licha ya kutoka kwenye majeruhi siku kadhaa zilizopita.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa