Bundesliga imeendelea leo huko nchini Ujerumani ambako miamba RB Leipzing na SC Freiburg wametoka sare ya 1-1. Freiburg almanusra ipate ushindi ugenini dhidi ya RB Leipzig.
Iliwalibidi Leipzing watoke nyuma ili kupata sare ya 1-1 dhidi ya SC Freiburg.
Yalikuwa mazingira ya tofauti leo kutokana na uwanja Red Bull Arena kuwa mtupu bila mashabiki kama tahadhari dhidi ya corona.
Leipzig walitawala zaidi kipindi cha kwanza na walikuwa na nafasi kadhaa za kuongoza lakini ilikuwa Freiburg ambao walitangulia kwa bao la Manuel Gulde, lililotokana na kona ya Vincenzo Grifo.

Bao hilo liliwashtua Leipzing na kuwapa Freiburg matumaini ya kushinda, lakini vijana wa Julian Nagelsmann wakajipanga na katika dakika ya 77 hatimaye mshambuliaji mwenye mizizi ya Kitanzania Yussuf Poulsen akafunga kwa kichwa kutoka ktk cross ya Kevin Kampl.
Freiburg walidhani walikuwa wameshinda mchezo katika dakika za nyongeza wakati Robin Koch alipozama kambani, lakini bao hilo lilikataliwa na VAR.


Theckla
Mpira ni dk 90 ila binafsi nimsifu Sana yussuf poulisen kwa kiwango alichoonyesha na kuisaidia Tim yake ipate sana
lombo
meridianbet mko vizur yan odds vilikuwa za kibabe
Tatu
Mpo vizuri
mwakalosi
Cha muhimu jana yule msambaa kashinda tu yussuf Poulsen
Zeiyana iddi
refa hanakazi sana..!kukataa goli la mchezaji kumvunja moyo yeye na mashabiki wa timu yake kwa kweli..!hii ali inafunja moyo kabic mchezaji..!
Hamidu
Sante kwa habari za michezo # meridianbettz
Dorophina
Mechi ya jana ilikuwa Kali vby
Ester mmakasa
Ni vizuri kama mpira unaonyeshwa tena sisi ni kuvuna pesa na si kingine.
frank patrick
Leibzig wameniangusha sana …team Timo Werner
Povel
Mpo vzr sana odd zilikuwah za kibabe thanks meridian kwa update
Asha
Mpo vizur mnatishaa
Rehema
Jana mechi ulikuwa Mambo hatarii hatari
Mariam mtandama
Asante meridianbet # muko vizur sana
winfrida
mchuano ulikuwa mkali
Aziza mushi
Meridian mpo vizuri Sana 👍
Ernest
RB Leipzing hawakuwa na bahati jana, ilikuwa bonge la game.
Neema hassan
Asante kwa makala meridianbet..
Carolyne
Tulimis mpira
Hope mwaikuka
Thanks for good news
Asia Abdy
Nawakubal meridian
felister
dah hii mechi nilijua tu lazima itatoa GG
Rehema Dickson
Asante kwa habari
Kenani
Lepzig kwa msim huu itakua poa
Ester jackson
Asante meridian
Emmy cleopa
Habari nzur sana
Furahav
Iko poa.