Berbatov amekosoa vikali hali inayo endelea kwa mchezaji wa kimataifa kutoka Wales Gareth Bale kwa kuigiza utoto kwenye mchezo dhidi ya Granada baada kutopewa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Real Madrid. Dimitar Berbatov amesema kitendo alicho kifanya Bale ni kuikosea heshima Real Madrid.
Bale amejikuta kutopewa nafasi klabuni hapo kwa msimu huu kwani amecheza dakika 100 pekee kwenye msimu wa LaLiga tangu ligi hii irejee baada ya kusimama kwa muda wa miezi mitatu kufuatia kuzuka kwa virusi vya Corona.
Mshindi huyo wa kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya mara nne alizua taharuki baada kunaswa kwenye Kamera akiwa amevaa barakoa kwenye macho huku akiwa anacheka na mchezaji mwenzake wakati wa mchezo wa Real Madrid dhidi ya Alaves wiki iliyopita na Madrid iliibuka na ushindi wa 2-0.

Bale alikuwa kama mchezaji wa akiba kwenye mechi hiyo alionekana akiwa ameweka darubini kwenye macho yake huku akiangalia Madrid ikishinda 2-1 dhidi ya Granada na mchezaji mwenzake wa zamani wa Tottenham Berbatov amekosoa kitendo hicho.
“Gareth Bale amekuwa kwenye vichwa vya habari tena baada ya kuzuga amelala alipokuwa kwenye benchi na kuonekana kama hatotumika kwenye mchezo dhidi ya Granada,” Berbatov alimuandikia kwenye ukurasa wa Betfair.
“Wakati nilipoona ile hali, sikuamini nilimuangalia alikuwa amevaa Mask machoni na kuigiza kama amelala, siwezi kuunga mkono, haija kaa kitaalamu na nikuikosea heshima timu.
“Napenda kumuona Bale akiwa anacheza na nina jua maumivu aliyo nayo sasa sababu nilisha wahi kuwa kwenye hali kama hiyo. Lakini hii imezidi sasa imeenda mbali.
“Gareth Bale suluhisho ni moja kuondoka Real Madrid Jumla /mkopo kwenda sehemu atakayopata namba ya kudumu au kuheshimu Real Madrid.
Kuna ofa kibao unazaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.


Elika
Asamehewe tu kwa kitendo alichokifanya
mwajumah
Asamehewe bule tu maana#Meridianbettz
Ester jackson
Kila mtu anamawazo yake na hata yeye mwenyewe anamawazo yake kwa nini aliamua kufanya vile ingawa kwa sisi tunaona amefanya kosa.
Adelta
Asamehewe tu
Lydia Emmanuel Magoti
Asamehewe tuu alichokifanya
Johnmary joel
Kila mmoja anamawazo yake ila kama viongoz wake wameona kakosea aombe msamaha#meridianbett
Magdalena
Bale ni kinara asamehewe tu
Franky
Safi sana demita Berbatov kwa kumkanya vikali mchezaji mwenzio…na kuto kuflaishwa na alicho kifanya
Genia Sikaluzwe
Bale samehewe tu
Ernest
Bale hafanyi utoto ila amefanya kile kilichostahili kuonyesha anakula mshahara bure ndani ya Madrid kitu ambacho wachezaji wengi huwa wanaumia sana kukosa ata muda kidogo wa kucheza huku bado kukiwa na sitofahamu kuhusu maisha yake ya soka kwa ujumla, Madrid should allow Bale to leave the Club no matter what loss they are facing so that he can enjoy football life.
Dorophina
Tatizo lake bale jeuri nyingi wamsamehe tu
Fatuma kasomo
Asamehewe ila apunguze jeuri
Isaya massawe
Kukosa kwake nafasi kumemfanya kukosa nidhamu hii pia inatokana na hasira
aisha
Msameheni sana kwani naye ni binadamu hajakamilaka
Samiah
Apunguze jeuri asamehewe
MnonganeJR
Asante kwa taaarifa#meridianbettz
Mwanahamisi
Wamsamehe tuu
Fatina mfingi
Asanteh kwa taarifa
Khadija
Wasamehe tu kwa kitendo alichokifanya#meridianbettz
caroline
asamehewe jamani.binadamu kukosea ni kawaida
Furahav
Bale kiwango kimeshuka sana,akae benchi tu.
Angelina
Daah asemehewe tu
Njiku
Bale nimchezaji mzuri sanaa ila kwa real madrid anaonekana kukaa benchi mda mrefu na kutochezeshwa na kitendo alichofanya bale sio kizuri ila kwa kukaa benchi mda mrefu anatafuta njia ya kusepa klabuni hapo ana manufaa napo
christopher
Muhimu atafute timu ya kucheza, Madrid hapo pashakuwa pagumu
Gabriel
Nice update 👍
farida ahmadi
Asamehewe tyuu Garrett Barre
Samira
Bare ni mchezaji mzuri sana sema real wamezidi kumuweka bench kwa mda mrefu ameongea ya moyoni mwake
lombo
gud news mambo ni moto na meridianbet
Tahiya
Sioni kosa kwa Balle mana kwenye mechi hapangwi kilichobaki ni kuwazoom tyuu
devotha
bale ni mchezaji mzuri sana ila apunguze jeuri ndo maana anawekwa bench
Povel tz
Bale anaona maisha yake Santiago bernabu yamefikah ukingon co chakustahajabisha
sabrina
Gareth Bale amekua na tuhuma nyingi za utovu wa nidhamu
Amiri Kayera
Bale amelidhika
Ester mmakasa
Bale ajishushe na aombe msamaha ili mambo mengine yaendelee.
Omary lukumbi
Kikubwa gareth bale kuondoka madrid
Edgar
Mtimueni bas hapo kilabuni
Saupha mohamed
Namkubali sana jamaa…wamsamehee tuuu
Revina
Utani mwingine usipowaza kwa haraka unaweza kukuletea matatizo ,unaweza kuona unawaburudisha wenzako kumbe inakugharimu ,kukubwa wamsamee alikuwa anajaribu kuwafurahisha wenzie
Salma
Wasemehe atakuwa ameshajifunza
Theckla
Bale yuko sahihi kwani Kila binadam ana mawazo yake
David Pere
Balle ameshindwa kujitambua Ndio maana anfanya vitu ambavyo si sahihi katika michezo
mwakalosi
bale hana mawasiliano mazur na kocha wake kwa misimu mitatu sasa inaonekana uongozi hawajawa tayari kumuachia japo hayupo kwenye mipango ya kucha
Sadick
Taa ya kijani imeshawaka kwamba aendelee na mipango mingine. Pamoja ya kwamba hana uhusiano mzuri na Kocha nae amekuwa akiongeza chumvi kwenye kidonda kwa vitendo vyake vya kiburi#meridianbettz
felister
sidhani Kama bale kwa kufanya ivyo amefanya kosa
Zeiyana
Bale ni mchezaji ambaye hanajituma sana akuna mtu hasiyeijua histor yake pale Madrid ila kwa kitendo wanacho mfanyia sio poa kabic ni kuishuasha samani yake kama mtu mmesha mchoka ni vizuri kumuacha haende akatafute maslai yake sehemu nyengine
Rehema
Hapunguze ujeuri ila wamsamee tuu
Latifa juma mohamed
Jeur c nzur ,vzr alivyomtolea uvivu kwa Hilo nidhamu sehemu yoyote inahitajika
Shafii
Bale njoo uingereza ukipige timu nyingi zinakuhitaji.
Hope mwaikuka
Asamehewe tu
Issa
Bale asepe tu madrid anashusha kiwango chake
Asia Abdy
Jeuri sana
Neema juma
Msamaha unahitaji kwa kweli
warda
Bale Anakusudi sana#Meridianbettz