Tuchel Apata Tumaini kwa Mbappe.

Kocha wa Paris Saint-Germain Thomas Tuchel anatarajia kuwa na Klylian Mbappe katika kuwakabili Nice siku ya Jumapili.

Mbappe bado hajaanza kucheza tangu kuanza kuanza kwa msimu mpya 2020-21 baada ya kugundulika ana maambukizi ya COVID-19 mapema mwa mwezi huu.

PSG walipoteza michezo miwili ya ufunguzi katika Ligue 1 lakini wamefanikiwa kusafisha njia kwa kuwafunga Metz 1-0 ushindi wa dakika za lala salama siku ya Jumatano.

Tuchel alisema anatumaini la uwepo wa Kylian Mbappe katika mechi ijayo dhidi ya Nice, Mbappe alifunga magoli 30 msimu uliyopita.

Tuchel Apata Tumaini kwa Mbappe
Kylian Mbappe
“Kylian anajihisi vizuri sasa, hana dalili tena za COVID-19,”alisema.

“Alikutwa na maambukizi ya Corona baada ya kufanyiwa vipimo lakini hana dalili tena. anafanya mazoezi binafsi.

PSG itamkosa nyota wao Neymar, leandro Paredes na Layvin Kurzawa baada ya watatu hao kutolewa kwa kadi nyekundu kwenye mchezo ambao PSG walipoteza dhidi ya Marseille wikiiliyopita.

Wakati Kurzawa amefungiwa mechi sita Neymar na Paredes wamepokea adhabu ya kuikosa michezo miwili ingawa adhabu kwa Muarjentina huyo imemshangaza sana Tuchel.


SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.
Cheza Sasa.

43 Komentara

    Good 👍@meridianbettz

    Jibu

    Vizuri mbappe atapambana kwajudi zake zote

    Jibu

    Habar njema sana kwa mashabiki wa PSG kurud kwa mbappe maana kulikuwa na pengo kubwa sana

    Jibu

    bora mana tuchel kichwa kilikua kinamuwaka moto

    Jibu

    PSG walikuwa na gepu kwa kukosekana mchezaji mahiri mbappe akiwepo kwenye mchezo huu itakuwa poa sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habari chema kwa mashabiki wa PSG

    Jibu

    Safi

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Mungu ni mwema

    Jibu

    Mbappe ni mchezaji mwenye mchango mkubwa sana

    Jibu

    Fantastic

    Jibu

    Tuchel toka apate kipigo cha double mechi mbili mfululizo naona hana amani bora mbappe aludi ulingoni

    Jibu

    Safi

    Jibu

    PSG bado wanaali ngumu tu hata kama mbappe hatakua fiti kwa kipindi ukiangalia mbappe hana majeraha amabyo yanamsumbua kwa mda huu

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Muujiza kutoka kwa Mungu huo

    Jibu

    Tuchel hupaswi kukata tamaa ni mapema mno ma tunamaini bado lipo

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Tuchel yupo katika wakati mgumu baada ya Timu yake kupoteza mechi mbili za awali na Mbappe ndio Muhimili wake#meridianbettz

    Jibu

    Asamte kwa makala#meridianbettz

    Jibu

    Nachoisi moral ya team imeshuka

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Mbappe mtu makini lazima kocha awe na matumaini nae anajituma akiwa dimbani

    Jibu

    Hii habari njema kwa PSG.

    Jibu

    Habar njema sana kwa mashabiki wa PSG kurud kwa mbappe maana kulikuwa na pengo kubwa sana

    Jibu

    Rudi nyumbani mbappe

    Jibu

    Safi sana mbappe

    Jibu

    PSG wamefanya jambo jema sana juu ya kumnasa mbappe yupo makini sana

    Jibu

    Saf Sana mbappe

    Jibu

    Corona sio poa

    Jibu

    Kulikuw na pengo kubwa Sana ni njema kurejea kwa mbappe.

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    🙌

    Jibu

    Corona shida

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.