Lionel Messi amerudi katika ubao wa magoli kwa kuweka kambani goli mbili kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Girona ukiwa ni mchezo wa kirafiki siku ya Jumatano.
Nahodha huyo wa The Blaugrana anajiandaa kumalizia mwaka mmoja uliyosalia katika mkataba wake na Barcelona baada ya kushindwa kufanikisha mpango wake wa kuondoka Camp Nou.
Tetesi za Messi kuondoka katika klabu ya Barcelona.
Messi alikuwa katika tetesi kubwa za kutimkia Manchester City lakini ataendelea kuhudumu katika klabu hiyo aliyodumu nayo kwa kipindi kirefu tangu alipokuwa na umri wa miaka 12.
Jezi namba 10 tutaendelea kuiona mgongoni mwa Lapurga na siku ya Jumamosi wiki iliyopita Barcelona walicheza mchezo wa kwanza wa Pre-season wakiwa chini ya mwalimu Koeman, Messi hakufanikiwa kufumania nyavu za Gimnastic kwenye mchezo huo ambao Barca ilishinda kwa 3-1, magoli ya Phillipe Coutinho,Antoine Griezmann na Dembele.
Lakini, aliweka mbili walipokutana na Girona mchezo wa kirafiki kabla hawaja cheza mechi nyingine moja ya kirafiki kisha kuanza rasmi michezo ya LaLiga 2020-21 dhidi ya Villarreal Septemba 26/27.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.
Cheza Sasa.


Theckla
Kazi nzuri messi
Sadick
Barcelona ndio mahali pekee ambapo Messi atapata mafanikio#meridianbettz
Theonestina
Safi sana messi
aisha
Duuh messi mtu mbaya
Khadija
Messi sio mtu wa mchezo mchezo#meridianbettz
Amiri Kayera
Kwa kiwango cha mess ndomn Barca awakutak kumuachia
Agness
Hongera Messi kwa kujituma
Aziza mushi
Safi Sana messsi👍
Sabrina
Messi mtu mbaya
Shafii
Ni jambo zuri Sana.
David Pere
Jezi namba 10 tutaendelea kuiona mgongoni mwa Lapurga na siku ya Jumamosi wiki iliyopita Barcelona walicheza mchezo wa kwanza wa Pre-season wakiwa chini ya mwalimu Koeman, Messi hakufanikiwa kufumania nyavu za Gimnastic kwenye mchezo huo ambao Barca ilishinda kwa 3-1, magoli ya Phillipe Coutinho,Antoine Griezmann na Dembele.
Povel
La pluga Nou CAMP ndo sehemu sahihi ya kuendeleah utawala wake
Zeiyana
Messi yupo vizuri sana subiri tuone kama hataweza kuondoka Barcelona
Rose kapinga
Huyo ndio messi amerudi kazini sasa
Elika
Mess katika ubora wake
Adelta
Messi uko vizuri 👍👍@meridianbettz
Sauda
Kama kawaida yake
Shani
Kijana wa shoka Messi kazi nzuri
magdalena
messi pamoja ya kuwa alitaka kusepa barcelona lakini amakua bado akionesha umahiri wake katika safu ya ufungaji bora
Genia Sikaluzwe
Ni Jambo zuri sana
Nasra
Messi jembe
Lydia Emmanuel Magoti
Nivizuri kwa Messi kwasababu Messi alitaka kusepa ndomana Messi amecheza kwa moyo mmoja nakutupia nyavuni namkubali Sana jembe huyo Messi kwa Barcelona ang’oki
Dorophina
Messi Barca ndio sehemu sahihi kwake na sio kwingineko
Mwanahamisi
Ni Jambo zuri sana
Njiku
Messi jeshii
Latifa juma mohamed
Safi Messi.
Fatina
Messi jeshi anaipenda club yake na ndoman anazidi kufanya mazur
Caroline
Messi baba laoo
Ernest
Sina mashaka na Messi mnyama
Mwajumah
Messi sio wa mchezo
Saupha mohamed
Messi sio poa
marry
yuko vzr han mpinzani
Gabriel
Messi ameanza na 🔥🔥🔥
Hopemwaikuka
Gud
Issa
Sasa kama we ndio koeman utamwachaje
Mtu huyu
Salma ngende
My messi
Samiah
Messi kidume
Angelina
Messi abaki tu barcelona
felister
ndo mana barca hawataki kumuachia messi