Kevin Durant alijisikia vizuri kwenye mechi yake ya kwanza ya Brooklyn Nets na nyota huyo anataka kuendelea kujijenga baada ya kurejea kutoka kuuguza jeraha.
Durant alikosa msimu uliopita baada ya kupasua Achilles wakati akiichezea Golden State Warriors katika Fainali za NBA za 2019.

Akicheza mchezo wake wa kwanza tangu Juni 10 mwaka jana – na mechi yake ya kwanza kwa Nets – Durant alifunga alama 15 kwa dakika 24 katika ushindi wa Brooklyn wa 119-114 mchezo wa pre season dhidi ya Washington Wizards siku ya Jumapili.
Bingwa mara mbili wa Fainali za NBA na mshindi mara mbili wa MVP alifurahi kurudi kwa mara ya kwanza ndani ya siku 552.
“Aisee, nilijisikia vizuri,” Durant aliiambia YES Network wakati Wizard wakimuajiri mchezaji mwenzake wa zamani Russell Westbrook.
“Ni wazi kwamba hali ni tofauti, hakuna mashabiki kwenye majukwaa na najua mashabiki wa Nets walikuwa wakitarajia siku hii, lakini ninatumai walifurahia kwenye TV.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!



Caroline
Pole Sana Durant
samiah
Duuh
Tatu
Pongezi kwake
warda
Awe makini tu asije umia tena