Mambo yanazidi kunoga kunako NBA 2020/21. Milwaukee Bucks (The Bucks) wanaendelea kutamba na kuweka rekodi za kipekee msimu huu.
The Bucks walikuwa uwanjani kupambana na Miami Heats. Huu ni mchezo ambao unakumbukumbu mbaya kwa Bucks baada ya kufungwa kwenye hatua ya nusu fainali ya Eastern Conference msimu uliopita.
Safari hii The Bucks wamelipiza kisasi kwa ushindi wa pointi 144-97 dhidi ya Miami Heats. Sambaba na hilo, Bucks wameweka rekodi ya kufunga ‘three pointers’ nyingi zaidi (29) kwenye mchezo mmoja wa NBA.

Milwaukee Bucks wameweka rekodi ya kuwa timu ya pili kwa kupata ushindi wenye tofauti kubwa ya pointi (47) dhidi ya timu iliyocheza fainali msimu uliopita.Bucks wamezidiwa na Seattle SuperSonics (56) ambao walifanya hivyo mwaka 1986.
Kwa mujibu wa takwimu za Stats Perform, Milwaukee Bucks ndio timu ya kwanza kupata ushindi wenye tofauti ya pointi zaidi ya 35 kwenye michezo 4 ya mwanzo katika historia ya NBA.
Je, hii ndio kusema kuwa Milwaukee Bucks wanajambo lao msimu huu????
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?



warda
Hongera yao
Tatu
Pongezi kwao
Fatina mfingi
Nice
Mwanahamisi
Pongezi kwao
Sarah
Pongezi kwao
Hopemwaikuka
Wakat wao
Caroline
Pole yao
Angelina
Goodnews
Saupha mohamed
Safi
Dorophina
Pongezi kwao NBA kunanoga sasa
David Pere
Safari hii The Bucks wamelipiza kisasi kwa ushindi wa pointi 144-97 dhidi ya Miami Heats. Sambaba na hilo, Bucks wameweka rekodi ya kufunga ‘three pointers’ nyingi zaidi (29) kwenye mchezo mmoja wa NBA.
Zahara omary
Pongezi kwao
Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi kwao
Sania
Safi sana
Sabrina
Hongera yao