Klabu ya Fiorentina imeripotiwa kuwa ipo kwenye harakati za kumnasa Kevin Malcuit wakati kukiwa na tetesi zinazobamba zaidi kuwa Pol Lirola anaondoka klabuni hapo.
Taarifa zinataja kuwa Fiorentina wamewasilisha ombi la kumsajili Malcuit kwa Napoli wakati ambao staa wake Lirola akitarajoa kwenda Olympique Marseille.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari za michezo za Italia, Sportitalia na Gazzetta dello Sport kupitia Alfredo Pedullà, tayari wameshawasilisha ofa yao kwa nyota huyo wa miaka 29.
Mkatyaba wa staa huu ulikuwa unafika tamati Juni mwaka 2022 na mpaka sasa amecheza mechi zake 2 msimu huu ambazo aliingia akitokea benchi, lakini hakupata nafasi tena baadaye ya kurejea kikosini kwa sababu ya jeraha la goti tangia mwezi Oktoba mwaka jana.
Malcuit anatarajiwa kuwa ataweza kuliziba vyema pengo la Lirola, ambaye amekuwa akihusishwa na mpango wa kuhama kwenda Olympique Marseille katika dirisha hili la Januari.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??
Rehema
Duuh!
Khadija
Mambo moto
Adelta
Fiorentina wafanye juhudi ili waweze kupata saini ya kelin malcuit
Magdalena
Itakuwa vyema sana
Dorophina
Malcuit yupo vizuri atawafaa
Hopemwaikuka
Sio mbaya
Saupha mohamed
Nomaaa
Rahmal
Itakuwa vizuli
Sarah
Itakuwa vyema
Mwanahamisi
Utakuwa poa
Latifa juma mohamed
Mambo moto
felister
itakua vizuri
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa poa sana
Gabriel
Malcuit yupo vizuri
warda
Wakaze tu watampata
Sania
Penye nia pana njia
Tatu
Noma
Sabrina
Itakua poa sn
Issa
Ni saf sana