Messi:Nipo Tayari Kupambania Taifa

Lionel Messi amezungumzia utayari wake kuisaidia timu yake ya taifa ya Argentina kubeba ubingwa wa Copa America kwa mwaka wa 2021.

Lionel akiwa kama nahodha wa Argentina ataongoza taifa hilo kubeba ubingwa wa Copa America kwa mwaka huu.

Messi

Katika mashindano makubwa matatu yaliyopita, Sio Messi wala Argentina waliokuwa na nafasi ya kubeba kombe la dunia wala Copa America zilizopita mara mbili mfululizo.

Lionel anaamini kuwa kipindi hiki kama timu wamejipanga vizuri kuhakikisha kuwa wanabeba ubingwa wa Copa America, mashindano ambayo yanafanyika huko Brazil na yataanza usiku wa leo.

Messi

Kikosi cha Argentina kinaundwa na mastaa kama Aguero na Lautaro Martinez ambao wote wamefanya makubwa klabuni kwao ambapo wamesaidia timu zao kubebea ubingwa, isipokuwa Messi ambaye alishindwa kubeba ndoo hiyo.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

2 Komentara

    Ngoja tuone itakavyokuwa

    Jibu

    Haya tupoo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.