Lionel Messi amezungumzia utayari wake kuisaidia timu yake ya taifa ya Argentina kubeba ubingwa wa Copa America kwa mwaka wa 2021.
Lionel akiwa kama nahodha wa Argentina ataongoza taifa hilo kubeba ubingwa wa Copa America kwa mwaka huu.

Katika mashindano makubwa matatu yaliyopita, Sio Messi wala Argentina waliokuwa na nafasi ya kubeba kombe la dunia wala Copa America zilizopita mara mbili mfululizo.
Lionel anaamini kuwa kipindi hiki kama timu wamejipanga vizuri kuhakikisha kuwa wanabeba ubingwa wa Copa America, mashindano ambayo yanafanyika huko Brazil na yataanza usiku wa leo.

Kikosi cha Argentina kinaundwa na mastaa kama Aguero na Lautaro Martinez ambao wote wamefanya makubwa klabuni kwao ambapo wamesaidia timu zao kubebea ubingwa, isipokuwa Messi ambaye alishindwa kubeba ndoo hiyo.
SHINDA TSH 150,000,000/=
Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑



magdalena
Ngoja tuone itakavyokuwa
Hope mwaikuka
Haya tupoo