Reading Nao Wakatwa pointi 6

Klabu ya Reading nayo imekatwa pointi sita kwa kuvunja sheria ya matumizi ya fedha zilizowekwa na shirikisho la mpira wa miguu nchini Uingereza.

Reading inakuwa klabu ya pili kukubali na kukatwa pointi hizo baada ya Derby County na yenyewe kukatwa pointi 21 baada ya kuvunja kanuni za mapato na matumizi ya fedha.

Klabu ya Reading imekubali kupunguzwa pointi hizo na wametoa waraka unaosema kuwa wanakubaliana na maamuzi na hawana mpango wa kukataa rufaa, huku mmiliki wa klabu hiyo akisema ameyapokea maamuzi hayo na bado atajitolea kwa klabu kwa moyo wake wote.

Kwasasa wanashuka kutoka nafasi 16 mpaka ya 19 kwenye msimamo wa ligi ya Championship wakiwa juu ya Derby County kwa nafasi nne kwa timu zinazopigania kutoshuka daraja huku Derby akiubeba msimo wote.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.