Real Madrid Wavutiwa na Kingsley Coman

Real Madrid wanaripotiwa kuhitaji huduma ya nyota wa Bayern Munich Kingsley Coman, hii ni kwa mujibu wa Fichajes.net.

Real Madrid Wavutiwa na Kingsley Coman

Dirisha la usajili la Januari linakaribia kuwa kubwa na vilabu vikifuatilia malengo yao ya msimu wa kati na msimu ujao wa joto.

Baadhi ya wachezaji wenye majina makubwa wanaweza kuhama katika miezi michache ijayo.

Ripoti hiyo inadai kwamba Los Blancos wanafuatilia kwa karibu hali ya kandarasi ya Mfaransa huyo huko Bayern na wangependa kumuongeza kwenye safu yao pamoja na Kylian Mbappe, ambaye wana uhakika wa kutua msimu ujao wa joto

Coman yupo kwenye mkataba na Bayern Munich mpaka mwaka 2023. Winga huyo amefanikiwa kufunga mabao 5 kwenye mchuano yote mwaka huu pamoja na asisti mbili.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.