Msimu mpya wa NFL 2021 umepangwa kuanza kurindima mwezi Septemba 9 na utakuwa ni msimu wa 102 wa National Football League tangu kuanzishwa.

Ligi hiyo iliongeza msimu wa kawaida kutoka ratiba ya michezo 16 hadi michezo 17. Msimu wa kawaida umepangwa kuanza Septemba 9, 2021, na bingwa mtetezi wa Super Bowl LV Tampa Bay akimkaribisha Dallas katika Mchezo wa NFL Kickoff ya kwanza na msimu utamalizika Januari 9, 2022.
Michezo ya mchujo imepangwa kuanza mwezi Januari 15, 2022 na kuhitimishwa kwa mchezo wa Super Bowl LVI, Mchezo wa ubingwa wa ligi utapigwa katika dimba la Inglewood, Calfonia Februari 13.
Licha ya kupoteza katika Super Bowl, Kansas City Chiefs ndiyo timu inayopewa nafasi ya kwanza katika viwango vya PFF NFL Power Rankings kwa msimu wa NFL 2021. Tampa Bay ni ya pili katika viwango vya juu vya timu lakini wanarudi kama mabingwa wa Super Bowl.

WIKI YA 1 YA NFL
Alhamisi, Sept. 9
Dallas Cowboys huko Tampa Bay Buccaneers.
Jumapili, Sept. 12
Philadelphia Eagles huko Atlanta Falcons.
Pittsburgh Steelers huko Buffalo Bills
New York Jets huko Carolina Panther
Minnesota Vikings huko Cincinnati Bengals
San Francisco 49ers huko Detroit Lions
Jacksonville Jaguars huko Houston Texans
Seattle Seahawks huko Indianapolis Colts
Arizona Cardinals huko Tennessee Titans
Los Angeles Chargers huko Washington Football
Cleveland Browns huko Kansas City Chiefs
Miami Dolphins huko New England Patriots
Green Bay Packers huko New Orleans Saints
Denver Bronco huko New York Giants
Chicago Bears huko Los Angeles Rams
Jumatatu, Sept. 13
Baltimore Ravens huko Las Vegas Raiders
Unawezaje kuikosa hii! Ndani ya kasino za meridianbet kuna mchezo unaoweza kukupa mkwanja mrefu leo hii, Wild Hot 40 ni njia nyingine ya kukufanya milionea, Chagua namba yako na uvune mkwanja.



Sarah
Asante kwa taarifa