LA Clippers Yaweka Historia Kwenye NBA.

Ikiwa ni michezo mitatu tu imeshachezwa kwenye NBA msimu huu. LA Clippers wameshaweka rekodi kwenye ligi hiyo.

LA Clippers walijikuta wakizidiwa pointi 50 katika kipindi cha kwanza walipochuana na Dallas Mavericks. Hizi ni pointi nyingi kupatikana kwenye kipindi cha kwanza katika michezo ya NBA.

Luka Doncic kushoto) akiwapashida wachezaji wa Clippers.

Clippers walipigwa kwa pointi 77-27 katika kipindi cha kwanza, tofauti ya pointi 50 ni kubwa sana tangu kuanza kwa mfumo wa kufupisha dakika za vipindi kwenye michezo ya NBA katikati ya miaka ya 1950.

Luka Doncic ameendela kuwa shujaa wa Mavericks baada ya kupachika pointi 24, alitoa pasi 8 za magoli na kucheza mipira 9 iliyokufa.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

13 Komentara

    Good news NBA

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Wanajua wanacho kifanya

    Jibu

    Habri nzuri asant meridian bert

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Wametishaa sana

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Rekod saad

    Jibu

    Imekaa poa sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.